The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,683
- 9,988
Polepole hajapotea,tukio lilipangwa kuwatia sumu ya kuandamana na kufanya vurugu
Ni kweli hajapotea, Ila amekwenda kule ambapo hawarudigi, Kama Akina Saanane
Polepole hajapotea,tukio lilipangwa kuwatia sumu ya kuandamana na kufanya vurugu
watashikwa vichwa kama hivi🙆Huyu jamaa namuona atakuja kufanya jambo ambalo watu watashika vichwa.
Afanye tu kwa kweli!Huyu jamaa namuona atakuja kufanya jambo ambalo watu watashika vichwa.
Huyu naye ni kama mwanasiasa tu.Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.
“Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi Humphrey Polepole.
Huyu naye ni kama mwanasiasa tu.
Mdogo wake hajulikani alipo yeye anapiga mipango badala ya kutekeleza mikakati ya kumtafuta kimya kimya.
Eti anasema tarehe fulani anakuja Tz kufanya kitu kibaya.
Huo ni ubabaishaji.Kama kweli atakuja mara ya mwisho kuonekana itakuwa uwanja wa ndege.
Malengo yako ni yapi, Tumbo?Huyu ni ndugu wa Pole pole kweli? Mbona ni lijitu la hovyo lisilo na Malengo, wala lolote?
Wote tutakuwa na mwisho. Tuliishi kusimamia, kupigania nini?Nikimuona naona nikama jamaa kadata tuu, Hana la kufanya, Hakutegema mdogo wake atakua na mwisho wa namna hii
Alienda kuchukua teja lake kwa makubaliano maalumu ya siriKwamba ridhwan alikua punda!!..muwe mnashughulisha bongo zenu
Naona mejipanga kumtukana kila mzalendo. Mmelipwa kiasi gani kuua Watanganyika.Huyu naye ni kama mwanasiasa tu.
Mdogo wake hajulikani alipo yeye anapiga mipango badala ya kutekeleza mikakati ya kumtafuta kimya kimya.
Eti anasema tarehe fulani anakuja Tz kufanya kitu kibaya.
Huo ni ubabaishaji.Kama kweli atakuja mara ya mwisho kuonekana itakuwa uwanja wa ndege.
ilikuwa Aibu kubwa kwa TaifaSafari ya China ilihusu kwenda kumtoa Ridhiwani jela baada ya kudakwa na madawa
Aliwapa china mikataba mingiAlienda kuchukua teja lake kwa makubaliano maalumu ya siri
Huyu akifa wallahi Nitafanya shereheAliwapa china mikataba mingi
Yupo kimya sasa. Kiongozi unaojitambua unatakiwa kuongea wakati gani?Aliwapa china mikataba mingi
Kwani Ridhiwani ni malaika toka kwa mungu? Wewe ndiyo shughulisha ubongo wakoKwamba ridhwan alikua punda!!..muwe mnashughulisha bongo zenu
Kwa sasa yeye ndiyo Rais kivuliHuyu akifa wallahi Nitafanya sherehe
Inasikitisha kuona namna watanzania milivyo na sura 2. Ulipinga udhalimu wakati wa jiwe na sasa una uunga MKONO.Huyu bwege asitupotezee muda. Kwanza hana hizo sifa anazojitapa, amekuwa mpiga tantalila tu. Ukurasa wa H Polepole umefungwa rasmi. Maana yeye hakutaka Samia agombee urais. Sasa Samia kagombea na kaapishwa. Tunasubiri 2030 hayo mengine hayatuhusu
Ni. Mwanajeshi?Tupo pamoja Kanala A.P
D9 usitoke bila ZANA.
😂😂😂😂😂😂Siku hizi Kuna vituko police anaogopewa kuliko mwanajeshi Kuna mwanajeshi kaitwa kituo Cha police kawashwa vibao da JWTZ wamekuwa waganganjaa