PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.

“Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi Humphrey Polepole.
Kwa hiyo .mmoja wa wamiliki wa kundi la wasiojulikana sasa anajulikana?
 
Yani huyu hata hayuko serious na issue ya ndugu yake. Approaches zake sizielewi kabisa. Ukishajirekodi hivi sasa ndio itasaidia Humphrey kurudi? Halafu unatoa maneno yoooote. Ni kama Polepole na yeye. Alikuwa anaongea kwa kujiamini na kutuaminisha hawawezi kumgusa kumbe yuko Ununio! Bora hata angekuwa anatoa mabaya /udhalimu wa hii serikali kama kutia wananchi hasira, na si hizi sarakasi zake za kitoto.
Wewe huna uchungu wowote sababu hujafiwa na ndugu kwa kufumuliwa ubongo na risasi wala hujapotelewa na ndugu hakuna ndugu yako yoyote alietekwa, pika ule ukanye utawaze, subiri wenye uchungu na ndugu zao wafanye yao
 
Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.

“Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi Humphrey Polepole.
Nadhani ana uchungu mwingi moyoni kumpoteza mdogo wake katika mazingira kama yale na kwa kutumia mabavu ya madaraka. Binafsi namuelewa sana hali anayopitia sio rahisi vinginevyo ni vigumu sana kuamini na kujipa matumaini kwamba Polepole bado yuko hai!! Hii binafsi mimi kama mimi nimeshakata tamaa na ndiomaana namuelewa bro
 
Haiwezi kuizidi familia ya kishetani na kiwendawazimu, kama hiyo ya kwako.
Na hio ya mama yako mla damu aliezaa shoga anaejitangaza mitandaoni kwamba anafirwa au sio?
 
Nadhani ana uchungu mwingi moyoni kumpoteza mdogo wake katika mazingira kama yale na kwa kutumia mabavu ya madaraka. Binafsi namuelewa sana hali anayopitia sio rahisi vinginevyo ni vigumu sana kuamini na kujipa matumaini kwamba Polepole bado yuko hai!! Hii binafsi mimi kama mimi nimeshakata tamaa na ndiomaana namuelewa bro
Kuna watu hawaelewi hilo sababu hawajayakuta kwa hio wanachukulia poa tu ... yaan poa tu sababu wao hayajawakuta mpaka hapo walipo ila yakiwakuta wataelewa jambo
 
Safari ya China ilihusu kwenda kumtoa Ridhiwani jela baada ya kudakwa na madawa
Hivi bado mnaamini hii propaganda?yaani mtoto wa rais auze unga?haingii akilini hata kidogo ...rais ambae hazina yote ya nchi ipo mikononi mtoto wake auze unga? Big no
 
Hivi bado mnaamini hii propaganda?yaani mtoto wa rais auze unga?haingii akilini hata kidogo ...rais ambae hazina yote ya nchi ipo mikononi mtoto wake auze unga? Big no
Kwa zile tweet za dully mawe inawezekana atauza ata NDOGO kabisa ata awe mtoto wa yesu
 
Hii familia ya polepole ni familia ya kipumbavu sana
Je hii familia tuiweke kundi gani mwalimu kilaza?
20251113_095511.jpg
 
Huyu ni ndugu wa Pole pole kweli? Mbona ni lijitu la hovyo lisilo na Malengo, wala lolote?
 
Siku hizi Kuna vituko police anaogopewa kuliko mwanajeshi Kuna mwanajeshi kaitwa kituo Cha police kawashwa vibao da JWTZ wamekuwa waganganjaa

Hahaha labda Kama Huo U JWTZ alipewa kama Hisani.

Tulio kua Mitaani siku za Maandamano, Sio Polisi, Janja Weed wala KMKM Waliweza kuwasogelea JWTZ.

Kwanza walikua wanaamriwa kama wajinga huku hakuna kupita
 
Pole pole alishikwa Kizembe kwa kiburi cha kujionyesha, alikuwa anafanya Nini Tanzania?

Lazima angeshikwa tu, alifanya uzembe mwenyewe, na ale ujinga wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom