Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,949
- 46,547
Why not Samia na genge lake now?Usiishi kwa kukariri. Magufuli nilimpiga vita kwa vile ndiye chanzo cha uozo huu wa kutekana na kuua na kuharibu demokrasia
Why not Samia na genge lake now?Usiishi kwa kukariri. Magufuli nilimpiga vita kwa vile ndiye chanzo cha uozo huu wa kutekana na kuua na kuharibu demokrasia
Mwenzetu katika imaaaaan.Why not Samia na genge lake now?
Alikuwa anajiona un touchable. Karma is a bitch. Kama na yeye alihusika na matukio ya watu kutekwa katika serikali ya mwendazake basi amelipia karma yakePole pole alishikwa Kizembe kwa kiburi cha kujionyesha, alikuwa anafanya Nini Tanzania?
Lazima angeshikwa tu, alifanya uzembe mwenyewe, na ale ujinga wake mwenyewe.
Ni kweli umoja ni nguvu.Lakini haiwezi kuwa mbadala wa juhudi za waTanzania kujikomboa. Aongeze nguvu alipo na uwezo napo; waTanzania tutaubeba mzigo mzima wa ukombozi wetu kwa damu zetu wenyewe.
Tusiweke matumaini kwa mtu; matumaini yetu ni kwa juhudi zetu sote; kila mmoja kwa kadri awezavyo.
Tutakosea sana tukimtegemea mtu au kundi la watu wachache kutufanyia kazi, ambayo ni yetu sote.