Its Tesha Senior Member Joined Oct 6, 2025 Posts 168 Reaction score 604 Oct 28, 2025 #1 Jamaa alisema atakuja kusema ukweli lakini wapy? Watu ni kama wamefungwa? Kuna namna hawa akina Mafwele wamefanikiwa kudhibiti baadhi ya mambo.
Jamaa alisema atakuja kusema ukweli lakini wapy? Watu ni kama wamefungwa? Kuna namna hawa akina Mafwele wamefanikiwa kudhibiti baadhi ya mambo.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Oct 28, 2025 #2 Naona anaishi kama Digidigi.
Dan Zwangendaba JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 6,458 Reaction score 8,796 Oct 28, 2025 #3 Mnadhani hili Taifa limekuwa stable kuzidi nchi zinazotuzunguka kwa bahati mbaya. Tukutane kesho mkijifariji kwa kushindwa.
Mnadhani hili Taifa limekuwa stable kuzidi nchi zinazotuzunguka kwa bahati mbaya. Tukutane kesho mkijifariji kwa kushindwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,832 Reaction score 185,258 Oct 29, 2025 #4 Muda utaongea... Cc: Mahondaw