Mlivokuwa KUB kumbe mliingiajeπNchi hii kuna uchaguzi?
Ataongelea yeye kaka atakapopata muda wa kunadi mikakati yake ya utekelezaji wa ilani Bora ya CCM chini ya mama SSH,mama wa 4RAmesahau nini?
No erection no state houseNO reforms no election
Nchi hii kuna uchaguzi?
kwa sababu ya zile Commedian zake? Bongo mnapenda sana watu wa kufoka foka kama 2pac?Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena
Ukienda Tabora imekuwa Toronto na wanyamwezi wanamkumbuka sana,barabara za laminkila Kona,amefungua by pass mbili Tabora inapumua tu pita kaskazini au kusini kote supa Nyerere,mataa yapo,hali ya hewa kwa sasa Tabora ni baridi kama upo huku njombe.
Hongera kwa kuchukua form na kuwa na shauku ya kuwatumikia wananchi Ili kukitendea haki kipawanulichopewa na Mungu
Mungu akubariki sana
Ikawaje? Mchapa kazi wa wapi baada ya kuchapa kazi ikawaje? zile foka foka zake kama wakina 2 pack?Alikua mchapa kazi sana huyu mzala nilipita Tabora imesimama maeneo mengi ya mjini bara bara nyingi ni kiwango cha lami.
Mkuu nchi hii inahitaji Sera nzuei tena National Polucy ili mambo yasonge mbele, individual policy hazina maana, Ok niambia akaondoa umasilini kwa % huko Taboea? Ajira kaa asilimia ngapi? Hudu.a za afya kwa asilimia ngapi?Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena
Ukienda Tabora imekuwa Toronto na wanyamwezi wanamkumbuka sana,barabara za laminkila Kona,amefungua by pass mbili Tabora inapumua tu pita kaskazini au kusini kote supa Nyerere,mataa yapo,hali ya hewa kwa sasa Tabora ni baridi kama upo huku njombe.
Hongera kwa kuchukua form na kuwa na shauku ya kuwatumikia wananchi Ili kukitendea haki kipawanulichopewa na Mungu
Mungu akubariki sana
πππ,nimeshachukua form Jimbo Moja Kanda ya magharibi,namjua huyu mwamba,pengine wewe unamatatizo Yako tu na Leo weekend huenda ulikoshinda umetoka bilabilaSasa huyu mfokaji ana jipya lipi? Hebu tutolee upuuzi.
Amekutuma umpigie kampeni JF? hatumtaki na hafai.
Hii ndio wajinga wa republic wanapenda, yaani hawataki kusikia Sera za kitaifa wala mifumo bora ya kuendesha nchi, wanataka watu kama 2pack, hata makonda nazani ni kwa sababu ya kuwa kama 2pac.Sasa huyu mfokaji ana jipya lipi? Hebu tutolee upuuzi.
Amekutuma umpigie kampeni JF? hatumtaki na hafai.
Nenda kaone utanibishia hutoaminiMkuu nchi hii inahitaji Sera nzuei tena National Polucy ili mambo yasonge mbele, individual policy hazina maana, Ok niambia akaondoa umasilini kwa % huko Taboea? Ajira kaa asilimia ngapi? Hudu.a za afya kwa asilimia ngapi?
Tupunguze ujinga Watanzania, CCM hata aje kugombea Yesu hakuna kitakacho badilika
Mimi nazungumzia Tabora aliyokua anaizungumzia kabla na baada ya yeye kuwa pale ila kama unatafuta ligi mimi sio mtu wa hizo ligi mazee..Ikawaje? Mchapa kazi wa wapi baada ya kuchapa kazi ikawaje? zile foka foka zake kama wakina 2 pack?
Una mjua kafanya nini? Huko Tabora kuna lipi la maana? kuna umasikini wa kutisha huko na hilo ndio jambo la maana sana, tupunguze hizi hadaa, tunadangganywa kiboya sana na hawa CCM.πππ,nimeshachukua form Jimbo Moja Kanda ya magharibi,namjua huyu mwamba,pengine wewe unamatatizo Yako tu na Leo weekend huenda ulikoshinda umetoka bilabila
Acha kumzungumzia 2pac kirahisi hivyo mazee ile ni fani yake kama ulivyo wewe na fani yako na pia usijione wewe muda wote una akili zaidi ya wengine mazee yaani wewe unamtukana 2pac kwa kipi ambacho wewe umefanya Dunia inakufahamu.Hii ndio wajinga wa republic wanapenda, yaani hawataki kusikia Sera za kitaifa wala mifumo bora ya kuendesha nchi, wanataka watu kama 2pack, hata makonda nazani ni kwa sababu ya kuwa kama 2pac.
Nchi imejaa pimbi sana, tuna safari ndefu sana