ilitoke juzi tu kwenye mitihani ya CPA, msimamizi kasema "wale walio tumia graph paper, wa zifunge kwenye shit ya mwisho, msimamizi atawapa kamba"........................ ni kaanza kujiuliza wapi panahitaji graph sikupata jibu
Mmmh mambo logarithm hayo, nilikuwa nachukua kale kakitabu kalog ila sijui kusoma, basi kuna mshikaji wangu alikuwa ananijua udhaifu wangu, anaviagizia KAMA viwili najiuliza anavitumiaje? Si vinafanana?
O-Level wenzio wanaomba Four Figure wewe unatoa macho tu hujui hata inatumika wapi!View attachment 71657
we unafanyaje ikikutokea hiyo??