Agnes wa masogange video queen

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
agnes wa masogange ndie video queen kwa bongo sasa hivi kama unavyomuona ni mrembo na umbo la kuvutia
huyu ndio yule wa kwenye wimbo wa masogange
mapenzi yautesa moyoooo
mapenzi yaumiza moyooooo
 
Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    30.2 KB · Views: 1,308
  • 5.jpg
    5.jpg
    30 KB · Views: 1,034
  • 1.jpg
    1.jpg
    27 KB · Views: 1,803
  • 4.jpg
    4.jpg
    22.6 KB · Views: 950
Huyu demu hakuwa hivi. nadhani ametumia mchina kwa sababu zamani alikuwa mwembamba hana hata **** lakini nashangaa sasa hivi ana **** kubwa kama subwoofer
 
Mbona pix zote anatangaza bidhaa? Au anatoa ndogo?

Watu wakipiga picha (sio wote) hua wanatafuta mkao ambao utaonyeshe their 'best feature/asset'. Kama ni wowo atakaa kiupande, kama ni miguu ataikunja ama atainyoosha ionekane vizuri, kama ni macho atarembua na kuangalia camera moja kwa moja, kama ni kiuono basi ataweka na mkono ili ukione, kama ni tabasamu basi ataachia mpaka mwisho n.k

Sasa dada hapo kaonyesha kile anachoona kinavutia zaidi kuhusu yeye, there is nothing wrong with that.
 
Mbona mwanzisha thread anaonekana yupo zaidi kibiashara!!!! Wewe kuwadi wake nini???
 
Watu wakipiga picha (sio wote) hua wanatafuta mkao ambao utaonyeshe their 'best feature/asset'. Kama ni wowo atakaa kiupande, kama ni miguu ataikunja ama atainyoosha ionekane vizuri, kama ni macho atarembua na kuangalia camera moja kwa moja, kama ni kiuono basi ataweka na mkono ili ukione, kama ni tabasamu basi ataachia mpaka mwisho n.k

Sasa dada hapo kaonyesha kile anachoona kinavutia zaidi kuhusu yeye, there is nothing wrong with that.

Ok asante kwa kunijuza Lizzy nilijua anatangaza biashara
 
ila hii style ya wadada wa bongo sana sana kupiga picha na kugeuza makalio huwa sijui inaashilia nini? maana sijui ati....kila mwanadada picha anageuza makalio......makalio yanalipa sana eeh?
 
Huyo demu hakuanza na masogange ila hiyo nyimbo ilikuwa hit, hebu tafuta video ya Suma rider inaitwa My lady , utamuona alivyokuwa ni hivyo hivyo tu, mgongo anao, ila kwa sasa umeongezeka kutokana na hali yake ya kipato kupitia fani.
 
agnes wa masogange ndie video queen kwa bongo sasa hivi kama unavyomuona ni mrembo na umbo la kuvutia
huyu ndio yule wa kwenye wimbo wa masogange
mapenzi yautesa moyoooo
mapenzi yaumiza moyooooo
analipa..
 
Huyo demu hakuanza na masogange ila hiyo nyimbo ilikuwa hit, hebu tafuta video ya Suma rider inaitwa My lady , utamuona alivyokuwa ni hivyo hivyo tu, mgongo anao, ila kwa sasa umeongezeka kutokana na hali yake ya kipato kupitia fani.

Kafanya pia nangoja ageuke ya MwanaFA & AY
 
ila hii style ya wadada wa bongo sana sana kupiga picha na kugeuza makalio huwa sijui inaashilia nini? maana sijui ati....kila mwanadada picha anageuza makalio......makalio yanalipa sana eeh?

Kama unakuta demu anayo, huwa yanawalipa itakuwa. Mana si bure kuhakikisha makalio yanaonekana kwa uzuri zaidi kwenye kila picha.
 
Mbona naonyesha makalio tu? kuna biashara inaendelea hapo? ANYWAY bandika namba yake hapa tuifanyie kazi nasi tupate hizo thawab!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom