Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Na ije. Na ije upesi mama. Nimesikitika leo nimekutana na mdada ana bachela ya uhasibu tangu 2014 yupo mtaani. Sasa kaajiriwa kwenye steshenari anafanya kazi ya kutoa photocopy!Naiona nchi ya viwanda yaja.... Usedcountrynewpipo
Wa pili kwa umaarufu kwenye ndondi, soka, kimuziki au nini? Wenye kuelewa hatujaelewa.Huyu ni mdogo wa mtu wa pili kwa umaarufu kwenye kaya kuu, mwenye kuelewa na aelewe. Napita tu....
Marehemu gani ndugu?Ni Shemeji,mdogo wa damu wa marehemu!ni shemeji wa nani sijui kusema kweli
Ebu funguka tpaul, shepu nzuri na kujazia ndiyo iwe sababu ya kuqualify uDED? No!du, anafaa....ana shepu nzuri, amejazia vya kutosha! hongera zake.
ana vipi kuhusu uwezo wake mkuu?ni kweli anatosha kuwa DED?Huyu kwao sengerema, na nishemejie magufuli. Ni mdogo wake na make wa kwanza wa magufuli akiwa bado mwalimu. Kwao ni nyamazugo road mjin sengerema.
Kwani uzi unatafuta nini au umewekwa kama kitendawili?haaaah haaaaa utapasuka na njaa zako. Siku nikikuambia amepatikanaje huyo utanielewa!mwenye akili anajua uzi unatafuta nini.
mbona umeshtuka.nenda post #85Marehemu gani ndugu?
Ruvuma haijawahi kuwa na mwanamama mkuu wa mkoa.Mbona kama anafanana na yule mama alikuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma kipindi fulani?
Ninge shangaa wanyama kama hawa kufikiri tofauti na maumbile yao na jina laoNilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka kwenye usichana lakini hakuonekana kama ni mtu mzito kimajukumu ya ofisi.
Hamad nakutana na jina Agnesi Mkandya kwenye list ya Wakurugenzi wapya wa Magufuli.
Sikujua kama ni yeye mpaka leo nilipoiona picha akiwa na Wazira Ummy Mwaalimu akitambulika kama DED Gairo. Mwenye data zake atupe tupate kumjua
Amepatikanaje???!!haaaah haaaaa utapasuka na njaa zako. Siku nikikuambia amepatikanaje huyo utanielewa!mwenye akili anajua uzi unatafuta nini.
Namshangaa sana Rais Makufuri kwa kumtosa kada huyu wa CCM na kushindwa kumpa hata ukurugenzi...sio tabia nzuri hata kidogo.Ninge shangaa wanyama kama hawa kufikiri tofauti na maumbile yao na jina laoView attachment 370904