Agness wamejariwa mnoNilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka kwenye usichana lakini hakuonekana kama ni mtu mzito kimajukumu ya ofisi.
Hamad nakutana na jina Agnesi Mkandya kwenye list ya Wakurugenzi wapya wa Magufuli.
Sikujua kama ni yeye mpaka leo nilipoiona picha akiwa na Wazira Ummy Mwaalimu akitambulika kama DED Gairo. Mwenye data zake atupe tupate kumjua
Wachaga walikuwa wapi we msukule, acha ukanda usiyejitambuaMkome mbona walipokuwa wachaga mlikuwa hamsemi. Magufuli bhatolage bhenabha bhale Na kishimbe,
Acha kujikweza ndugu!Akina Masawe hatuli nchi kwakuteuliwa, tunakula nchi kwa kutumia akili za kuzaliwa.... Sasahivi tupo ubia na ndugu zetu Wakinga tunataka inunua k, koo na sinza... Only Mrema is looking for uteuzi
WrongWell said bro. Ukabila hautupeleki kokote. Tumjudge MTU kwa utendaji wake. Tukianza masuala ya ukabila, udini au rangi hayatatufikisha popote.
Kumbuka kuna wadau na naamini hata humu JF wamo ni mashabiki wa SIMBA damu na wqnachama wa CCM damu lakini Hawaogopi kuvaa njano na kijana kisa rangi za Yanga.
Mke wa Kwanza wa Magufuli?Huyu kwao sengerema, na nishemejie magufuli. Ni mdogo wake na make wa kwanza wa magufuli akiwa bado mwalimu. Kwao ni nyamazugo road mjin sengerema.
Kabla ya kumuoa huyu aliye naye Janth, alikuwa ameoa kwa mzee mkadya baadaye wakaachana. Huyu aliye naye ninwa pili.Mke wa Kwanza wa Magufuli?
Kwani JPM ana wake wangapi?
Ahsante nimekusoma!Kabla ya kumuoa huyu aliye naye Janth, alikuwa ameoa kwa mzee mkadya baadaye wakaachana. Huyu aliye naye ninwa pili.
wapiiii hoja ni tygohHoja ni uchapa kazi na si usukuma, mnaoongelea usukuma mna ukabila na kijiba cha roho. Chapa kazi mama.
Nchi hii ina Wachaga na Wasukuma tuu? Sisi Wasandawi, Mang'ati, Wairaqwi, wanyambo lini?Na bado akina masawe wamekula mno hii nchi sasa zamu ya waliooitwa tangu uhuru washamba ha haaas
Kwa sasa anao wawili yaani mama Jesca na pia mdogo wake mama Jesca ambaye alimpachika mimba kwa kutumia kauli ya haina ushemeji pia michepuko mingine ipo kwa siri kubwa mwenye Siri zote ni Daud Bashite kwani ndiyo mshauri mkuu wake.Mke wa Kwanza wa Magufuli?
Kwani JPM ana wake wangapi?
Shemeji shemeji huku wazima Taa hainaga ushemeji ndiyo kauli ilitumiwa na mkulu kuzaa na mdogo wake mama Jesca hakuna msafi wa kumnyooshea mwenzake kidole." Sasa wapo busy kuimarisha penzi na yule mtangazaji wa clouds tv kipindi cha 360 Tanzania hakuna siri, yy kaamua kumtumia Daud Bashite kuwatengenezea watu Uzushi ajiandae kuvumilia siri zake kuanikwa huku Bashite na yy akitafutiwa Kidume amtie mimba mkewe baada ya Daud Bashite kuishi nae miaka 6 pasipo kupata mtoto,Nadhani watu wamemleta huyu mama baada ya kuona Mbowe kasingiziwa kuhusu Wema. Haya mambo hayalisaidii Taifa, iwe kwa Magufuli au Mbowe.
vidune wapo busy kumsaka mke wa Daud Bashite ili wampachilke mimba baada ya Daud Bashite kuishi nae miaka 6 pasipo kupata mtoto wameapa kumsaidia kupata mtoto feki kama vyeti vyake.Teuzi za yule mtu nna wasiwasi kama zinaangalia hata sifa...cjaona teuzi aliofanya so far ambayo imekuwa outstanding..ukiangalia uteuzi wa ukuu wa dar na ukuu wa arusha...unajua ni sifa zipi anazingatia zaidi...na huyu wa gairo nadhani amezingatia yale anayosema yule kikatuni cha IG kinachojiita mpigania democracy...
Mshauri mkuu wa mkulu Daud Bashite ndiyo kinara wa kupika hizi Tabia za kupakaziana hivyo wa kulaumiwa ni yy kwani analifanya Taifa kupoteza mda mwingi kujadili vitu vya ajabu badala ya maendeleo.Nadhani watu wamemleta huyu mama baada ya kuona Mbowe kasingiziwa kuhusu Wema. Haya mambo hayalisaidii Taifa, iwe kwa Magufuli au Mbowe.
Mkuu mbona hii imeletwa huku toka 2016 sema wameona siyo vibaya kufukua kaburiNadhani watu wamemleta huyu mama baada ya kuona Mbowe kasingiziwa kuhusu Wema. Haya mambo hayalisaidii Taifa, iwe kwa Magufuli au Mbowe.