Agizo la Rais: Watumishi wa Muhimbili waanza kuhamia Wizara ya Afya kupisha wagonjwa wanaolala chini

Iko siku mtu ataambiwa kula kinyesi chako, na atavua nguo na kunya kisha kula kinyesi chake bila kufikiri mara mbili kwa hii nidhamu ya uoga inayopandikizwa

Sasa unataka kusema nini??????!!!!! Uwe na adabu na heshima katika uandishi wako...
 
Hatua ya kuhamisha hio ofisi yenye watu 70 ni mpango wa dharura. Nadhani jengo litakamilishwa na kupanua uwezo wa MNH. Tukumbuke kwamba Princess Margrate Hospital ( Sasa Muhimbili National Hospital) ilianza wakati wa ukoloni kuhudumia wakazi wa Jimbo la Mashariki na Pwani wasiozidi laki 5. sasa tunaelekea Million 5 na ushee. Msongamano na kulala chini hakuepukiki kwani mahitaji yameongezeka. Naamni JPM na team yake wameshaliangalia hili ndio maana wanaona Jengo la wazazi likamilishwa/mkandarasi atimuliwe aweke mwingine atakaye fanya kazi kwa spidi na viwango vya awamu ya 5.
Tuvute subira. tuwasaidie.
 
Tena picha la kihindi stelingi amekufa huku bado anatenda kazi kama yupo hai
 
Kama jengo linavunjwa vunjwa partition zake na kubadilishwa kuwa wodi ya wagonjwa, sawa.

Vinginevyo hata mimi sijaelewa logic ya hii kitu.

By the way, najiuliza tu kwa sauti ya chinichini, ni kwa nini mambo ambayo watu walioko pale ndiyo walipaswa kuyatolea maamuzi, wanasubiri hadi Magufuli awaambie na kisha itangazwe na kuonekana kama vile a big deal??

Kuna tatizo la uchukuaji wa maamuzi inavyoonekana ktk nyingi ya taasisi zetu siyo??......Mbona huyu bwana ana kazi sana basi
 
Still kuna watu watakuja kumpinga Magufuli amekuruputa
 
Hebu angalia sasa panavyoonekana. Hiyo ndio iliyokuwa imegeuzwa ofisi na kufanya wagonjwa walale chini. Lakini baada ya agizo na watu kufanya kazi usiku na mchana wale wagonjwa waliokuwa wanalala chini watahamishiwa hapa. Kupanga ni kuchagua.





 


Hivi kule Mloganzire ambapo kumejengwa chuo kikuu Kishiriki cha muhimbili mbona kuna eneo kubwa sana, kwa nini vitengo vingine visihamie kule? Wizara ya afya fungukeni ili mambo yasonge kwa kasi ya JPM
 
haters wa magufuli njooni huku
Hakuna 'haters' wa makufuli, bali kuna 'critics'. Tatizo la magambas hamtaki kusahihishwa hata mnapofanya visivyo. mkisahihishwa mnahamaki na kuwaita wasahihishaji 'haters' au 'wivu wa kike'! Kama kusingekuwepo na critics wakali wa mfumo wa uliochoka uliofikia kilele chake katika awamu ya 4, leo hii tungekuwa na Maembe akiendeleza yale yale ya 'business as usual' na mgekuwa mnamsifia!
 
Kwani raisi ni Mungu?hakosei?hao walioiweka hiyo ofisi hapo ni wajinga?
Nani amesema Rais ni Mungu?. Nani aliyesema hao walioweka ofisi hapo ni wajinga?
Unajua hao waliyoiweka hiyo ofisi hapo walikua wanafanya nini?kwanini waiweke hapo?
Wewe unadhani walioiweka hiyo ofisi walikuwa wanafanya nini? Nielimishe!
Unajua athari zitakazojitokeza kwa hiyo ofisi kutokuwepo hapo?
Nielimishe hizo athari? Unafahamu kwa sasa ofisi yao itakuwa wapi?
Serikali itekeleze jukumu lake siyo kwa kufukia fukia namna hii
Kwa uamuzi huu, Serikali inatekeleza jukumu lake ambalo ni kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora za afya.

Rais Magufuli amesema kupanga ni kuchagua. Kinachofanyika kwa sasa amekipanga na kukichagua katika serikali yake.

Au wewe unadhani wakina mama kulala chini sakafuni ndio kutekeleza jukumu la serikali?

Hivi huu ujinga mnajifunzia wapi?
 
Kwa jinsi unavyoandika hayo majina tu inaonyesha jinsi gani ubongo wako ulivyooza.
 
Hizo ofisi zilikuwa na vitanda na magodoro? Kwa wale wataalamu wa ujenzi na wadhibiti majengo mlio hapa jamvini, je, ofisi hata kama haina dirisha inaweza tumika kwa malazi? Haya kwa nchi nyingine halali mtu chumba kisichokuwa na dirisha kwani kama kuna hatari ya moto ni vigumu kujiokoa au kuokolewa. Hivyo ni vema amri ya kuhamia wizarani ingewahusu wale tu wenye ofisi zinazoweza tumika kwa malazi. Lakini kwa sababu hapa ni kazi tu hata wasiohusika watahamishwa. Hivyo ningeshauri kubadlisha msemo kidogo, yaani HAPA NI KAZI TU KWA KUTUMIA MAARIFA.
 
Mtanyooka tu dalili zimeshaanza kuonekana
 
Magufuri wengi tunakuunga mkono,wapo wachache wanaofaidika sababu ya wizi na kukosa uzalendo lazima watapiga kelele hii siyo awamu ya Nne! Hayo ndiyo mabadiriko wengine tulikuwa tunayataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…