Agiza kitu chochote toka Ujerumani kisichozidi kg 20

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
USISAHAU KULIPA KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU.

Wadau ulimwengu huu wa kusaidiana KWA SISI WATANZANIA ,nipo chuo hapa ujeruman kwa sasa kama utahitaji chochote nikununulie toka hapa nitafanya hivyo na kukutumia kwa DHL. (NITAKUKUTANISHA NA FAMILIA YANGU BONGO KWA UAMINIFU ZAIDI( yaani nyumbani kwangu)

Mitandao ya kuchagua bidhaaa hii hapa
AMAZON
ELEXPRESS
EBAY

MFANO WA VITU VYA KUAGIZA
1.Saa
2.Simu
3.Viatu
4.Powerbank
5.Machine za nywele
6.Perfume
7.Projector
8.Alarm za magari za ukweli kabisa
9.Laptop
10.Kamera
11.KWA WADADA VIPODOZI ORIGINAL,NIPE JINA LA KIPODOZI.

Garentee ya bidhaaa zao ni kuanzia miaka 2..

NB:Bei ya vitu huku ujeruman ipo juu kwaajili ya Quality za bidhaaa zao,na kodi yao ni kubwa kwa chochote utakachonunua.

NIMEANDIKA HIVI MAANA MTU ATATAKA KULINGANISHA NA BEI YA KARIAKOO.

NI PIN IN BOX NIKUPE NAMBA YA WHATSAPP:
 
9d0837c39b73c8837e7bb8a85fd4651e.jpg
kama hyo
 
Wadau ulimwengu huu wa kusaidiana KWA SISI WATANZANIA ,nipo chuo hapa ujeruman kwa sasa kama utahitaji chochote nikununulie toka hapa nitafanya hivyo na kukutumia kwa DHL. (NITAKUKUTANISHA NA FAMILIA YANGU BONGO KWA UAMINIFU ZAIDI)

NB: bei ya vitu huku ipo juu kwaajili ya Quality yao na kodi zao tofauti na China na nchi za Asia.

NIMEANDIKA HIVI MAANA MTU ATATAKA KULINGANISHA NA BEI YA KARIAKOO.

NI PIN IN BOX NIKUPE NAMBA YA WHATSAPP

Samahani kama nitakukwaza....hivi huko unga una bei kama vile China au? Nina kilo kadhaa nikuletee kisha uninunulie mizigo nitakayo kuagizia uniletee. Tuwasiliane zaidi juu ya hili, unasemaje? Kuleta unga huko kwako si ishu, pale JKNIA haina ishu, nina watu wangu pale.
 
Unga upo kiongozi, wana Ghana na Wanaigeria Wanaleta sana huku kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom