Speaking of Marry J, aisee huyu Mama still enegic like yupo kwenye 30's old.
Kwenye Tunzo za BET 2019, category ya Lifetime Achievement Award dada alionesha stil ana zile hype na vibe za kutosha sana. She dd almost nyimbo zake zote kali hasa zipe za 90's akiwa na mzuka mkubwa sana hasa wakati wa ku dance.
Kuna makala yake niliiona miaka kama 5 hv anaeleza kuwa jambo kubwa sana ambalo limemsaidia ni mazoezi na kula kwa afya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.