Agh it sucks wakuu

Agh it sucks wakuu

Tatizo lipo ktk nafsi zenu, ni zaidi ya vita ila kwa akili zenu hamuwezi ona chanzo.
 
Mi nna mashaka kila mmoja wenu kifikra anamazungumzo mengi sana na mwenzie ila hamjaamua kuyaweka kiuhalisia
Kama vipi amsha dude ila kama unangoja akwambie neno sahau mpaka yesu arudi hatosema.

Mpunguzie uoga Kwa kujenga ukaribu nae kisha mwambie aache utoto halafu achana nae.
 
Nimeadmire comment yako iko na uhalisia ndani yake
Jaribu kulifanyia kazi huenda ukafahamu nini chanzo.

Nilishaona jambo hilo kwa rafiki wa mama yangu, walikua marafiki na wanashirikiana kawaida ila ikafika mahali yule rafiki wa mother akimuona mother anaelekea kwake anafaa kukimbia anajificha ndani na anasema waliopo waseme hayupo.

Akiulizwa kwann hajui kwanin mpaka siku moja akaja kuomba msamaha wakaongea wenyewe.

Sijui nin kilikua kinatokea baina ya nafsi zao, kuna kipindi tena huyo rafiki yake bi mkubwa nlienda dukani kwake akaniambia kwny maombi yangu usiku ni......

Nikajiuliza nani alimwambia naombaga usiku? Mpaka leo simwelewi kwakweli....
 
Mi nna mashaka kila mmoja wenu kifikra anamazungumzo mengi sana na mwenzie ila hamjaamua kuyaweka kiuhalisia
Kama vipi amsha dude ila kama unangoja akwambie neno sahau mpaka yesu arudi hatosema.

Mpunguzie uoga Kwa kujenga ukaribu nae kisha mwambie aache utoto halafu achana nae.
Kweli mkuu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom