Agh it sucks wakuu

Agh it sucks wakuu

Hii inatokana na kutokusoma thread vizuri mkuu soma kwanza thread vizuri mkuu mwanzo mpaka mwisho
Nimesoma yote mstari kwa mstari. Hakuna uliposema japo umejibu kuwauliza jamaa zake wa karibu sana sana umejistukia watu watakuelewaje. Huwa sikurupuki mzee
 
Kweli kaka ila kunakitu umeshindwa kujiongeza nimesema niko na mda mrefu namjua ila ckuwahi kumuongelesha wala yeye kuniongelesha inamaanisha hatuna ukaribu wa namna yeyote sasa kam sina ukarib na yeye nitawezaje kuw na ukaribu na,marafiki zake au familia yake ndiyo maana nimekuja j/forums kwa kua najua kunawatu wanamawaz mapan kuhusu hili wanisaidie mkuu kutokana kule unaposemea sina,wa kumweleza hili mkuu
 
Mkuu ni kweli unachokiongea??
Hawa mademu ni watu wa ajabu sana,hapo anajishtukia hyu jamaa miaka yote hata kuniambia mambo hakuna so anajihisi yuko mapungufu fulani ambayo ww umeyaona kwake,hebu gonga huo mzigo kwanza then utaleta mrejesho
 
kama ina make sense mkuu!!!
 
Mmoja kati yenu either wewe au uyo du co mtu mzur na anaweza kua mchawi so kama ni ww hicho ndo chanzo cha kukuogopa inabid ujitahid kujiepusha nae zaid na kama co ww ni yeye yaan hapo jitahid kujiepusha nae mconane ikiwezekana hama kabsa sehem hyo
 
Akikuona anahis kaona zimwi

Kumbuka zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
wewe naye type yake! unakuja kwa wanajf bila kuonyesha nini umekifanya baada ya kugundua hali yake! pambana na hali zenu wote ni walewale
 
Mmoja kati yenu either wewe au uyo du co mtu mzur na anaweza kua mchawi so kama ni ww hicho ndo chanzo cha kukuogopa inabid ujitahid kujiepusha nae zaid na kama co ww ni yeye yaan hapo jitahid kujiepusha nae mconane ikiwezekana hama kabsa sehem hyo
Duuh sawa mkuu nitalipa nafasi hilo mkuu thanks
 
wewe naye type yake! unakuja kwa wanajf bila kuonyesha nini umekifanya baada ya kugundua hali yake! pambana na hali zenu wote ni walewale
Hapana mkuu matokeo mabaya huwa siyo mazuri ndiyo maana ushauri na kufikiri huwa ndiyo majambo ya kwanza kabla ya kutenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom