OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 573
- 1,338
Wakuu niko na tatizo kubwa ama dogo kwa upande mwingine kuna dada mmoja anaishi nje kidogo ya mtaa wetu ni kama nyumba ya 15 au 20
Ni longtime ni miaka takriban 10 au 15 niko namjua ila sikuwahi kumuongelesha wala yeye kuniongelesha then ni mkubwa kidogo kuliko mimi sasa kunatatizo limezuka lina kama 2 months yule dada bhana tukikutana uso kwa uso ananiogopa kinoma anaweza badili hata njia,, kwa mtindo huo umenifanya hata mimi pia kumkalia mbali zaidi!! sasa kibaya zaidi hii tabia ya kuniogopa huionesha hata mbele ya wazazi wake pindi anaponiona ki ukweli wakuu inanipa wakati mgumu kufikiri ni kwasababu gani inakua hivi au wazazi wake na jamii kiujumla watanichukuliaje yani sijaelewa hali ya kuwa hatuna any kind of relation or communication
So wakuu nilikua naomba mnishauri hili linatokana na nini??? Mimi nimefikiria nimeshindwa
Na nini nifanye wakuu maana inakua ngumu kiasi??"