KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Apr 20, 2012 #21 Anafanya ku-act ukali kwa ajili ya tv tu.
mwanamapinduko Senior Member Joined Jan 24, 2011 Posts 178 Reaction score 41 Apr 20, 2012 #22 Pole Mwanri propaganda ulizojifunza eastern block huu sio wakati wake! Now action speak louder than word. Try it or copy from J Pombe Mgfli!
Pole Mwanri propaganda ulizojifunza eastern block huu sio wakati wake! Now action speak louder than word. Try it or copy from J Pombe Mgfli!
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,175 Reaction score 11,572 Apr 20, 2012 #23 Lole Gwakisa said: Kwba ajiuzulu haina mantiki. Kwa sera ya uwakibikaji Mwanri ni mdogo kati ya wote. Namfahamu huyu jamaa ni mchapa kazi, tatizo ni mfumo wote hauganyi kazi. Hata hivyo nimeguswa na jinsi anavyochukia unadjirifu, apewe meno. Click to expand... Thanks Buddy, hapo haswa tatizo ni la kimfumo hata aje mchapakazi vipi kama system ni mbovu hakuna mabadiliko yoyote
Lole Gwakisa said: Kwba ajiuzulu haina mantiki. Kwa sera ya uwakibikaji Mwanri ni mdogo kati ya wote. Namfahamu huyu jamaa ni mchapa kazi, tatizo ni mfumo wote hauganyi kazi. Hata hivyo nimeguswa na jinsi anavyochukia unadjirifu, apewe meno. Click to expand... Thanks Buddy, hapo haswa tatizo ni la kimfumo hata aje mchapakazi vipi kama system ni mbovu hakuna mabadiliko yoyote