Agenda ya ajira Juni 30 imefutika kabisa

Agenda ya ajira Juni 30 imefutika kabisa

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Kweli hii nchi kuitawala ni simple sana. Kufukuzwa kwa Nchemba sijaona impact yoyote ya kutusahaulisha mambo ya msingi:-

1.Ajira hakuna

2.Hakuna kupanda kwa mishahara
Nk nk

Bajeti haikuwa na mvuto, ndicho kinachowakera. [HASHTAG]#SIDANGANYIKI2020[/HASHTAG]
 
Hapa kazi tu
 
Mkuu kwa sasa hata usiposahau utaishia kuumia bure..
Hata ukisema ukumbushe kila siku jamaa hasikii hata kidogo kwahio ni bora wahitimu wajifanye wamesahau tu waanze kuwaza nje ya box
 
Life must carry on despite all the difficulties u're going through
 
Back
Top Bottom