Age Mates! Hawa wote wana umri wa miaka 8!

Age Mates! Hawa wote wana umri wa miaka 8!

[emoji53] hiki si kizazi kile kilichoangamia na safina, inamaana kilibaki duniani.


Huyu dogo atakuja kuvunja rekodi ya yule Mmarekani mrefu kuwahi kutokea duniani ambaye alikufa akiwa na miaka 21 tu na urefu wake haujawahi kufikiwa
Huyo dogo mhindi, ndio mtoto mrefu kuliko wote katika watoto wa rika lake la miaka nane kulingana na taarifa za Guiness. Ana urefu unakoadiriwa kufikia mita 2!

View attachment 525591 View attachment 525592
 
Back
Top Bottom