Age Mates! Hawa wote wana umri wa miaka 8!

Age Mates! Hawa wote wana umri wa miaka 8!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,814
Huyo dogo mhindi, ndio mtoto mrefu kuliko wote katika watoto wa rika lake la miaka nane kulingana na taarifa za Guiness. Ana urefu unakoadiriwa kufikia mita 2!

Age mates 2.jpg
age mates.jpg
 
Inawezekana mimba yake ilikaa muda mrefu zaidi, alikaa sana tumboni akachelewa kuzaliwa
 
Ni mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa sana. To date hakuna mtoto aliyezaliwa na uzito aliozaliwa nao huyu dogo...
Inawezekana mimba yake ilikaa muda mrefu zaidi, alikaa sana tumboni akachelewa kuzaliwa
 
Huyu ndiye anatakae kuja kuwaibia kwa kalam
 
Back
Top Bottom