Age difference

Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana.

Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.

kwa nn unahc kama age difference ni muhimu kwa wa2 wenye malengo ya kuoana ?
 
The most important thing is love, age comes after that.

Hivi mtu ukimuona akakuvutia, do you ask her/him questions about age? Unless the age difference is to big, mambo ya umri utayajua baadae.
 
anything/any number but lazima iwe in a single digit....ikiingia double digits inakuwa sooo...hapo kunakuwa na mlezi na mtoto.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom