Age difference

5 hadi kumi mwanaume umzidi mwanamke

Jamani chukueni wanawake mnao lingana umri au waliowazidi kwa sababu
- wanawake wanaishi muda mrefu kuliko wanaume... So ukimchukua aliyekuzidi kidogo mtakufa atleast the same year
- mnalinda heshima zenu kwa vibinti vidogo
- mtachukuliwa kama watoto wa wake zenu so cio rahisi kuwa disobey
- hakutakua na friction ya kutosha kusababisha maambukizi
- mkeo hatahangaika kutafta damu changa as long as upo ndani
- atawahi kupoteza uwezo wa kuzaa so utapunguza gharama za contraceptives
- utakua umewaacha mabinti wadogo kwa vijana wadogo
 
inafaa zaid mwanaume amzidi mwanamke kuanzia miaka 4-8 sio mbaya,manake wenzetu akili zao hazikui haraka kama wadada
 
Inasemekana Dada zetu huwa wanakua haraka sana kulinganisha na wakaka, so inashauriwa mwanaume awe mkubwa kiumri kwa mdada. Pili wadada wanakua haraka pia kiakili kwa hio akiolewa na mkaka mwenye umri mdogo kuliko yeye, itakuwa ni shida na huenda dada akawa ndio mfanya maamuzi jamaa una-ratify tu.
 
Mie nilitamani hasa nipate 15 years difference. Sema Mungu hakupenda.
 
inafaa zaid mwanaume amzidi mwanamke kuanzia miaka 4-8 sio mbaya,manake wenzetu akili zao hazikui haraka kama wadada

Natumaini wamaanisha akili za mapenzi,mahaba ya kitandani zaidi na sio akili za uwerevu,darasani na kimaisha...
 
Kama kweli Adam na Hawa walikuwa wazazi wetu wa kwanza,,basi Mwanaume awe na umri kumzidi mwanamke..
Adamu aliumbwa kwanza Hawa akafuatia
Sina tofauti exactly ya umri,,vyovyote iwavyo mwanaume amzidi mwanamke
 
Kama kweli Adam na Hawa walikuwa wazazi wetu wa kwanza,,basi Mwanaume awe na umri kumzidi mwanamke..
Adamu aliumbwa kwanza Hawa akafuatia
Sina tofauti exactly ya umri,,vyovyote iwavyo mwanaume amzidi mwanamke
Siku hizi watu hawazingatii hayo tena, badala yake hali imekuwa tofauti wanawake ndio wanakuwa na umri mkubwa kuliko wanaume.
 
1_2,,imezidi saaaaana age difference ya 3 inatosha saaaaana

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Back
Top Bottom