MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Watu wenye utaalam na mambo ya kiroho yaani watu wa dini au washirikina watakupa majibu yenye ufafanuzi mzuri mkuu. Jitahidi kuwatafuta watakupa jibu la uhakika
Habari Jf,
Hapo katikati niliwahi kupost maswahibu yangu na mpenzi wangu wa zamani. Kuna kitu kinanitatiza sn naombeni mawazo yenu though i might sound weird.. Ni hivi wkt tupo kwenye mahaba motomoto na mpenzi wangu wa zamani tuliwahi kufanya kiapo cha damu.
Tulijikata vidole tukagusanisha damu huku tukisema maneno tukiachana tuharibikiwe and tusipate wapenzi wakudumu khaa! Najiona mjinga sn now je kuna madhara yoyote katika hilo au ni just imani za kijinga tu and if ni tatizo nifanyaje kuliondoa?
Wakati mwingine hua tunafanya mambo ya ajabu sana tunapokua tumekufa tumeoza.
[/COLOR]
umefanya mambo mangapi ulipokufa na kuoza?
Hakuna agano linalotambuliwa na Mungu kwenye uasherati
Maneno yanaumba na hakuna kitu kibaya kama kiapo cha damu... Itabidi muishi nacho na atakayejaribu kukitengua ataisoma
PM ndo nini!!!!nameless girl upo kweli?
Nmekukumbuka sana mtoto ww hebu ni pm
Mtafute mtengue hilo agano.
ibada yake ni mini na tatizo ni la huyu mtoa Mada sio kwamba wamegombana
Nilielewa hivyo mkuu. Kwa hiyo hakuna uwezekano wa kulitengua kwa maneno ya kinyume cha kile walichoagana?
Litatenguliwa tu iwapo kutakuwa na makubaliano ya pande zote mbili tena bila kinyongo...... Lakini mliahidiana kupendana mpaka kifo kitakapowatenganisha kwanini mnataka kutengua agano lenyu?