Agano la damu katika mapenzi lina madhara gani?

Agano la damu katika mapenzi lina madhara gani?

Jibu unalo, umeshapata mpenzi mwingine baada ya kuachana na yule? Bloody relationship remains to be bloody relationship and it cannot be obtained from mixing up your blood into your blood stream rather it is only obtained from sharing both or one of the parents since you have the genes of either both or one of your parents.
 
Habari Jf,

Hapo katikati niliwahi kupost maswahibu yangu na mpenzi wangu wa zamani. Kuna kitu kinanitatiza sn naombeni mawazo yenu though i might sound weird.. Ni hivi wkt tupo kwenye mahaba motomoto na mpenzi wangu wa zamani tuliwahi kufanya kiapo cha damu.

Tulijikata vidole tukagusanisha damu huku tukisema maneno tukiachana tuharibikiwe and tusipate wapenzi wakudumu khaa! Najiona mjinga sn now je kuna madhara yoyote katika hilo au ni just imani za kijinga tu and if ni tatizo nifanyaje kuliondoa?

Wakati mwingine hua tunafanya mambo ya ajabu sana tunapokua tumekufa tumeoza.

kwani likizo ya mwezi September ishafika
 
by
wanga pesa
 
Unhealthy practice

Hakuna kitu kama hicho mkuu.Ondoa shaka
 
Kuna binadamu akili zenu hata mkimpa paka atazikataa.
 
Ndugu zangu mtoa maada anahitaji msaada na sio matusi/ kejeli au lugha chafu

Mtoa maada napenda nijibu kama ifuatavyo

1: katika ulimwengu Wa roho huyo bado ni mpenzi wako hivyo bac kunaulazima kuvunja hayo manuuzi mlivyonuiana hio cku

2: damu ni sawa na uhai hivyo bac Yale maagano yenu bado yana uhai na c rahisi kuyavunja kirahisirahisi Bali kunahitaji umakini sana juu ya kuvunja na kutenganisha roho ya mpenzi wako nawe lasivyo hilo agano linaweza likakuathiri wewe au kizazi chako kijacho ni kwa hio ni lazima kulivunja hilo agano NB kubalianeni mwishi pamoja
 
Kwataarifa yako hakuna agano lenye nguvu kama agano la damu, alifutiki kwa maombi wala kwa maneno wala kwakufunga Bali ni kwadamu kazi unayo na hivi huna hekima utaabika hadi ujutie, Poole sana
 
-Maneno huumba

-Agano la damu huvunjwa kwa damu.
 
Aisee unakuwa kichaa siku sii nyingi kama mlilazimishwa sawa lakini kama ni kwa hiyari yenu duu ndiyo unaanza kupoteza.
 
Dah mwaka huu tunalo mpaka mfungue vyuo ni november, nyuzi za namna hii tutazisoma sanaa...mleta mada hujaitwa hata kwenye semina(supplementary)!!!
 
hiyo ni imani tu lkn hakuna kitu hapo. Jus endelea na maisha n nothing will happen to you. Kama unaimani na mungu na unaamini kabisaaa hakuna kitu
 
dah mapenzi ni balaaa kweli ulikolea na kulewa.........
 
Back
Top Bottom