Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
- Thread starter
-
- #21
Nani aliyekudanganya haya unayosema hapa. Utafiti unaitwa utafiti kama ni valid. Utaitaje utafiti kama haujafuata kanuni za utafiti. Hawajafanya validation hivyo matokeo yao ni null an void. Upo hapoUtafiti unapingwa na utafiti, period
Mkuu haya tunayoyasikia siyo mahubiri ambayo watu husema amen. Hapa tunachambua pumba na mchele.Guyz huo co uchaguzi mkuu presha ya nn tusubiri Oct 25
Mkuu siyo percentage tu, vilevile hawaja- validate finding zao. Ni upuuzi tu wametoa.Makamba hajasoma hesabu ndio maana percent zimezidi na yeye hakulijua hilo. Me namsamehe
Msonge mbele kwa reality siyo habari za chumbani mnaziita utafiti.Ccm tunasonga mbele tuongeze ushindi toka 68% hadi > 75%
Ukijumlisha unapata 102%. Hata kudanyia kwa hesabu za kujumlisha kumewashinda.
Hata kabla ya Octoba lazima pumba na mchele zitenganishwe.Wa kwetu ni Octoba 25
Mkuu unakosoa utafiti, huo wa Twaweza siyo utafiti ndiyo maana hawakudiriki kufanya validation, maana ingewaumbua vibaya sana.lakini haizuii kuukosoa
Yaani ukae chumbani, uzipike halafu uite data. Hizo zinakuwa garbage in garbage out. Upo hapo.Nanyie fanyeni utafiti wenu jamani...mtabaki kuwa watu wa kupinga tu....hata hapa inaonesha hivyo...
no data no right to speach...sasa fanyeni utafiti halafu mtoe povu....
otherwise Magufuli is our president.
Hata kabla ya Octoba lazima pumba na mchele zitenganishwe.
Kudai validation ni muhimu sana. Kama unauhakika na kitu ulichofanya huwezi kukwepa validation. Kwa kuwa wanajua walichofanya chumbani ndiyo maana hawakudiriki kutoka barabarani kufanya validation. Ingewaumbua vibaya sana.Kudai validation ni kutoka barabarani. Nadhani the concern was supposed to be imekuwaje wakafikia hapo? Kwa manufaa ya nani? Kwa nini wanadanganya umma?
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao.
Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa.
Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao.
Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.
Nadhani wewe ndiyo umekurupuka. Kwa nini hao wezi wasisubiri kusombwa kama CCM wanavyosombwa? Watu wanajigharimia wenyewe nauli za kwenda kwenye mikutano wewe unawaita wezi wa mifukono. Sasa kama wanaoenda kwenye mikutano ya UKAWA ni wezi, sasa nani atamwimbia mwenzake wakati wote ni jobless na hawana hela. Kila mtu hana hela sasa watamwibia nani? Usipoteshe watu hapa. Wanaoenda kwenye mikutano ya UKAWA ni genuine voters. Kwa hiyo jobless wanaenda mikutano ya UKAWA tu ya CCM hawaendi. Unachotaka kusema CCM inategemea kura za wenye job tu, hawataki kura za wasio na job? Kwani hawa wanaonyimwa job na CCM siyo watanzania. Kumbuka hawa unaowaita jobless wamenyimwa job na CCM ndiyo maana wanataka kuitoa CCM madarakani, upo hapo?Mtoa Mada Umekurupuka.Sio Kila Unaemuona Kwenye Mkutano Wa Kampeni Ni Mfuasi.Wengine Wanakuja Kumshangaa Tu Mgombea.Wengine Ni Wezi Wa Mifukoni.Wengine Ni Jobless People Wamepata Mahali Pa Kujikeep Busy.Wengine Wamekuja Kutafuta Mademu Na Mabwana Wapya.Kila Mtu Na Sababu Yake.Kwahiyo Husikariri Kua Wote Ni Wapiga Kura Wa Mgombea Husika.
Halafu hii coincidence, wamesubiri CCM wajifungie, wakatoa, halafu nao Twaweza wakatoa matokeo baada ya kujifungia vyumbani.kampeni bado hazikua zmeanza maana zilianza tar 22 aug wao walifanya utafiti mwanzoni mwa mwezi wa 8 leo majibu wanatoa eti ccmizi anaongoza duh inashangaza
bongo wachumia tumbo wengi sana
Waliokuwa wanajitia kupinga uzi huu waoanishe kinachosemwa na UKAWA katika mkutano wao na waandishi wa habari muda huu na nilichosema hapa kwenye uzi. Utafiti unataratibu zake na miiko yake. Hawa Twaweza wanafikiri Tanzania haiana watu wanaojua kufanya utafiti, halafu wanakuja kudanganya watu- hatudanganyiki ng'o!MAkamba alifeli FORM FOUR Hajui hata Variation ni nini!
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao.
Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa.
Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao.
Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.