Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michael Amon, Jul 20, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Kijana Priva Elian wa Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili.

  Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, walidai kijana huyo alifikia uamuzi huo baada ya wanawake wawili kumgombea.

  Walidai kuwa alifikia uamuzi huo Februari 27, mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na ghadhabu kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa wanawake hao.

  Walieleza kuwa mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake ambaye hakutambulika jina na kumweleza kuwa achukue viungo hivyo na kuwapelekea wanawake hao ili wavigombee.

  "Hatujui alitumia kifaa gani kujifyeka kwani kinaonesha ni kikali sana, kwani baada ya kukata sehemu hizo nyeti, alimpa mdogo wake ili awapelekee wanawake hao kwani ndicho kitu muhimu kwao na siyo yeye," alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la kusikitisha.
   
 2. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Heh hasira hasra, imekula kwake huyo
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Hana ana matatizo ya akili sio kitu cha kawaida hicho itabidi aende kupimwa akili Young_Master
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni mgonjwa wa akili huyo jamaa.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  lakini nimependa sana busara yake kwamba wanawake awanagombea mshedede to me namuona ana akili kweli manake hainiingii akilini watu wawili mnakuwa mnamgombea mtu mmoja wakati mibadala ipo tu? yaelekea yakwake inajua kaazi ya mfyonzo aisee na hivi warombo wanasifika kwa mifyonzo sijui?
   
 6. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kichaa
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh! Maamuzi magumu kweli!
  Anaendeleaje?
   
 8. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Heheheeeee, dah! hata sijui nawaza nini hapa lol
   
 9. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tuone kama wataendelea kumgombea.........................bila ya........
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mimi naona alichofanya ni sawa kabisa maana maandiko matakatifu yanasema kama kiungo chako kimekukosesha basi kikate na ukitupe majini.
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Waendeleaje wakati ......ndio kila kitu?
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Vipi bombu na wewe umeanza kuzeeka kama mimi hadi unasahau unachowaza?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Bado anauguza majeraha yake...unadhani kujifyeka sehemu za siri mchezo nini?
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Umejuaje gfsonwin? hata mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo...Inaelekea sababu ya hao wadada kumgombania ni huo mshedede wake ndio maana akaamua kuufyeka ili wakose wote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Teh teh mh ni kweli, ila mh ngumu, kiungo kama hicho???
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Wewe tokea lini kichaa akagombaniwa na mademu?
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mbona rahisi tu? Embu njoo nijaribu kufyeka cha kwako uone kama ni ngumu.
   
 18. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Huo unaitwa uamuzi wa busara mkuu MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaaaa
  Ana akili huyu kijana.
  Alijua mademu wanataka hiyo kitu na sio yeye
  Akawapa kabisaa wajisevie.
  How kind the man is..
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni mzima kabisa...nimempima mwenyewe na stethoscope yangu...Au kama unabisha ntamuita gfsonwin akamfanyie uchunguzi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...