Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina