Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

Tabubya vibabu kupenda vibinti kidogo ndo hivyo. Kusimamia kucha hawawezi kifuatacho ni strokee all the time. Tuwaombee wanaume wetu maana naona miaka hii ndo mitindo yao. Kuna profesa naye kaoa kabinti kadogoo
HUO WIVU SASA, ILI MUME WAKO ASIENDE AU. VITOTO VIDOGO VINA UZURI WAKE BANA ACHA
 
Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Sky Eclat, mwanachama wa kibwetele mage
 
Waafrica tujifunze, tunanyonya nchi zetu zinabaki masikini, halafu tunafunga safari kwenda kula raha kwenye nchi zilizojinyima kwa ajili ya kujenga nchi zao.

Kwani alishindwa nini kwenda kupumzika hapo coco beach? Angepatwa na maswahiba housegirl angempigia simu Regina akawahi kumpeleka kwa prof Janabi siangepona!

Kuna taarifa alivyokula mweleka mara ya kwanza housegirl ndie aliyeokoa jahazi kwa kuita ambulence.
Mkuu umefanya nicheke kwa sauti kubwa nikiwa peke yangu huku nafuturu!!! Kwamba angeenda kupumzika Coco Beach?
 
R.I.P. Sasa walizoea ujanja ujanja awam hii sio.Inabidi wapige moyo konde otherwise watakufa wengi.
katika awamu ambayo haina inachopigana nacho ndo hii zaidzaid wa nakula kichoyo yani wale ambao wanakubaliana na mfumo hawaguswi na wanazipiga tena wanasiasa ambao wapo karibu na Jamaa ndo wanatajirika kwa kasi ya ajabu na wanapiga kama kawa na hawaguswi. .......
 
Hii taarifa yako imejikita katika kutafuta manufaa kisiasa, Wewe ni mhuni na mgonjwa wa siasa kwako kila tukio ni fursa ya kufanya politics.

Hebu acha watu waomboleze na wamzike mzee wao kwani alotenda kwa familia, jamii na nchi ni makubwa na yanaongea yenyewe. Hatutaki taarifa za kuumba umba hapa ziondoe watu kwenye maombolezo
Huyu ni kama CAG tu aliesema pesa imeibwa huku ajui kuwa CHADEMA ndiyo wanakula kodi zetu nyingi
 
R.I.P. Sasa walizoea ujanja ujanja awam hii sio.Inabidi wapige moyo konde otherwise watakufa wengi.
Kweli kabisa, walizoea kucheza na wenye mamlaka I'll kufanikisha biashara zao, awamu hii wameumia.

Katika mkutano na wafanyabiashara nakumbuka JPM alisema hadharani kuwa alikataa fedha alizotaka kupewa na Mzee Mengi ili zimsaidie katika mafuta ya kampeni 2015. Hiyo tu ilitosha kufikisha ujumbe kwa mhusika kuwa zama zimebadilika.
 
Jf ishakuwa sehemu ya KIMAKU mnaleta siasa hadi kwenye roho za watu???
Miaka 77 bado mnaleta UMAKU wa KINGESE au mlitaka aishi milele???
Nyie mnaobwabwaja mna uhakika wa kufikisha umri wa mzee kabla hamjafa??
 
Mzee Mengi kwa ela aliyokuwa nayo alikuwa na uwezo wa kwenda hospitali yoyote duniani au kuajiri mtaalamu bingwa awe daktari binafsi au kucheki afya kila wakati au kuwa na mtaalamu wa diet, lakini siku ikifika hakuna namna
 
Maccm ndo yalimuharras mzee mpaka yakawa yanamzomea pale lumumba bashite nae akamtuhumu kua haonekani kwa itv miaka mingi bas ikawa hofu tupu itv mpaka kuna kipind kwa uoga tu wakajipiga ban wenyewe kisa walitoa taarifa ya kumkosoa jiwe ccm ni mashetani kabisa
Nipashe Jumapili ndio walijipiga ban ya siku 90.........
Ila itakua ajabu mzee mengi aogope mkwara wa BASHITE
 
Endeleeni kuona awamu hii ina la maana wakati wanaofaidi ni BASHITE Na BABA YAKE. We tembea kwenye daladala wakati BASHITE na Infiniti 80 halafu sema kuwa tunabana matumizi.
Ila ule mkwaju wa bashite........
Ha ha ha haaa......KWELI MATUMIZI YANABANWA
 
Mbona hii ya kuoa mwali mwenye mambo mengi pia sio Mchezo. Kama sio pulutuu na kasongo mundende basi maviagra yenye kuharibu moyo lazima yatumike sasa mbona madhara yake yanafanana na hayo TRA na utawala Huu tukufu. Bashite kweli wa kumwamrisha Mzee mbele ya Camera sie wananzengo tulijua Kama sio Bashite basi Mzee siku zake zinahesabiika.
 
Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk

Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .

Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa

Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote


Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Kifo kiko pale pale mkuu! Hakuna wa kunyoosbea kidole juu ya kifo. Mzee kazaliwa 1942. Ni mtu mzima sana na hakuna cha ajabu. Acheni kuwapa watu ma emotional stress za bure! Si serikali wala nani. Ni siku imefika lazima utakwenda no matter what! Mbona Bakhresa hajapata hiyo strock au hata akina Manji? Acheni hizo.
 
Ni kweli wakati Huo ndio ilikua afunge hiyo Guardian ltd ; na nyingine zikiwa kwenye hali Mbaya
Pia kuna hilo suala la kufunga migodi

Kuna watu anataka kutupeleka kwenye siasa kwenye hii topic ; pengine wanajihisi tu .. hii haihusiani kabisa na siasa bali ndio ukweli halisi.

Mimi sijaongelea kifo chake bali nimeongelea maswahibu aliyopita kibiashara kutokana na harassment ; na hili sio geni na yeye sio wa kwanza wako wengi tu Sasa Hivi wamefilisika , wako jela ; wako takukuru ; wako na stroke na hata waliojinyonga na kujipiga risasi


Sababu halisi ya kifo chake ni ya Kitabibu .
Mgodi wa mzee mengi haujawahi kutoa mawe miaka nenda miaka rudi na ni monet taker ya nguvu. Wewe unataka kuwaaminisha watu vitu huvijui hata. Sio kila kitu ni siasa.
 
Back
Top Bottom