Afya Ya Mengi Ilianza Kuzorota 2017

Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk

Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .

Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa

Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote

Mungu ampe pumziko la Milele Amina
alafu lijitu linapita makanisani liombewe [huko china]
 
Acha kugeuzia dola kibao kifo cha mengi. Alipata stroke 2017 wewe tu ndio unajua? Sasa unataka serikali iwe inaacha wafanyabiashara wasilipe kodi au kufanya biadhara bila kufuata sheria ili wasipate stroke? Kwanza mengi alikua mfanyabiashara makini na mtiifu wa sheria usilete umbea.
 
Utawala huu umeondoa wengi. Tunaowafahamu zaidi ni hawa wanaotekwa na kupotezwa lakini wapo wanaopotezwa kwa kujengewa mazingira yatakayowaondoa katika sayari hii.

Mungu mwenye huruma, awalipie wote wanaouawawa, wanaoteswa, wanaopotezwa, na wanaojengewa mazingira ya kifo na mateso. Laana kuu ikatande kwa hawa wenye kusababisha hayo yote, na mioyo yao ikakose furaha ya kweli mpaka pale watakapoyajutia matendo yao na kuamua kuondoka kutoka kwenye utumishi wa ibilisi.
 
Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
He was very weak for a long time. And what about other things which people don't say? Kuanguka huko Dubai akiwa peke yake kama wanavyosema, sio sababu ya yeye kufa...alishakuwa weak....ila mizunguko na tabu za Dunia
 
Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk

Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .

Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa

Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote

Mungu ampe pumziko la Milele Amina

What about other things which also cause strokes kama za Abacha na Chiluba? Wazee ni watumiaji wakubwa wakipata vitu laini laini, halafu wanasahau side effect zake.
For me stroke came as a result of so many combined things
 
Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk

Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .

Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa

Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote

Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Kifo ni kifo tu,mzee kwanza kapendelewa 78 yrs?,unacholeta hapa ni uchonganishi usio na maana ,mzee Baressa anaumwa kisukali,siku akifa utakuja na songi la hivihivi,soma vitabu vya dini uone maana ya kifo,acha kuroga mchana kweupeee!
 
Hii taarifa yako imejikita katika kutafuta manufaa kisiasa, Wewe ni mhuni na mgonjwa wa siasa kwako kila tukio ni fursa ya kufanya politics.

Hebu acha watu waomboleze na wamzike mzee wao kwani alotenda kwa familia, jamii na nchi ni makubwa na yanaongea yenyewe. Hatutaki taarifa za kuumba umba hapa ziondoe watu kwenye maombolezo
Very clear!
 
Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
yaani ww unawaza kwa sauti kama ninavowaza mm, haiwezekani married man, awe chumba chake peke yake
 
Juu ya migodi mengi alikua anaendesha kwa hisa, na ilikua yeye analipia kila kitu operation cost ila faida ikipatikana wanagawana faida na wenye hisa hiyo pia ilimyumbisha sana kibiashara
 
Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Mapenzi ya Jacqueline yalimpeleka puta sana mzee mengi ilihali naona mzee mengi ilimfanya awe nae kama mtoto, kuna asilimia kiasi cha Jacqueline kusababisha kifo cha bwana Mengi,siri ya mafanikio ya Mengi ilikua ni ya yule mke wake alietangulia, yule mama ndiyo alimpa changamoto
 
R.I.P. Sasa walizoea ujanja ujanja awam hii sio.Inabidi wapige moyo konde otherwise watakufa wengi.
Ila ukumbuke, wadanganyifu wengi,huamini kila aliyefanikiwa ni mdanganyifu! Mchawi akiumwa huamini amelogwa kama alivyologa wenzie wakaumwa.
 
Back
Top Bottom