Ccm ni mashetani walikuwa wana muuzi sana mzee wetu adi anashindwa kula mungu ni mwema lazima atakuwa poa sana siku zinavyo kwenda
Ni kweli lakini ugonjwa aliyo nao uko hivyo. Kuna siku unaamka mzima na kuna siku bila sababu unashindwa hata kunyanyuka. Ila kampeni zikianza ndo tutaona zaidi anavyoathiriwa na ugonjwa huu degenerative.
Basi ni kuombeana tu uzima!
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana.
Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa CCM.
Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.
Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.
My take:
Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao CCM...
AaH wapi atarudi CCM, CCM Oyee! Akishindwa hakubali huyu mzee amepania kuwa Raisi iwe mvua iwe jua magufuri atampa uraisi kivuri.Hata kama akishindwa atakuwa na moyo mweupeeeeeeee
So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani