Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
safi sana hii
Nina wasiwasi huko vijijini kwa jinsi maisha yalivyo magumu watakosa muda wa kusoma!Asante sana mzee mwanakijiji kwa kijarida hiki. Itabidi tutafute mawakala wa kukisambaza vijijini ili hizi fikra za kimapinduzi zifike huko nako.
Umepoteza muda +energy kutype na hutamshawishi yeyote with your empty statementdoes not make any changes. Just a wastage of time
Nina wasiwasi huko vijijini kwa jinsi maisha yalivyo magumu watakosa muda wa kusoma!
Tiba ya magonjwa kama haya ninini? Mi naona kama inaleta aibu kuona hali kama hiyo inatokea kwa kiongozi wa juu wa Taifa.Dr. Mfisi alisema kuwa "Tatizo pekee ambalo limekuwa likimsumbua Mhe. Rais mara kwa mara ni maumivu ya shingo yanayotokana na kuumia zamani utotoni na wakati wa ujana. Kuumia huko ni kwa baadhi ya pingili za uti wa mgongo, sehemu ya shingo (cervical spine), kuathirika na kumsababishia maumivu. Mara nyingi matatizo ya namna hiyo huwapata wanamichezo na wanajeshi. Kutokana na shughuli wazifanyazo. Kuumia siyo jambo la kustaajabisha."