Afya ya Kikwete bado yatatiza: Cheche Toleo la 46

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
toleola46.png
 

Attachments

  • TOLEOJIPYA46.pdf
    534.3 KB · Views: 473
Asante sana mzee mwanakijiji kwa kijarida hiki. Itabidi tutafute mawakala wa kukisambaza vijijini ili hizi fikra za kimapinduzi zifike huko nako.
 
nimedownload mzee.
nasoma na kukisoma na kukisoma.
nagombana na wewe kwa kuwa umekataa katuni zangu kutumika ktk kijarida chako (hehe)
 
Asante sana mzee mwanakijiji kwa kijarida hiki. Itabidi tutafute mawakala wa kukisambaza vijijini ili hizi fikra za kimapinduzi zifike huko nako.
Nina wasiwasi huko vijijini kwa jinsi maisha yalivyo magumu watakosa muda wa kusoma!
 
Hongera Mwanakijiji kijarida hiki ni njia mmoja mbadala ya kupeleka ujumbe kwa wasomaji,hakimchoshi msomaji,lugha ni nypesi.
 
Kurasa tatu zote za gazeti halina any point zaidi ya kuzungumzia vitu ambavyo tumeshavisoma. Kama madactari wa Rais washasema Rais yupo ktk hali nzuri, I believe we should trust them. Let's discuss other issues.
 
Mkuu Mwkjj heshima mbele,

Mbona habari yenyewe ni yaleyale tuliyoona na kuambiwa au kuna jambo jingine halijasemwa? nakumbuka wakati wa kampeni za 2005 kwenye ukumbi wa BCS mjadala wa afya ya JK ulikuwa tofauti kabisa na haya ya sasa.
 
Dr. Mfisi alisema kuwa "Tatizo pekee ambalo limekuwa likimsumbua Mhe. Rais mara kwa mara ni maumivu ya shingo yanayotokana na kuumia zamani utotoni na wakati wa ujana. Kuumia huko ni kwa baadhi ya pingili za uti wa mgongo, sehemu ya shingo (cervical spine), kuathirika na kumsababishia maumivu. Mara nyingi matatizo ya namna hiyo huwapata wanamichezo na wanajeshi. Kutokana na shughuli wazifanyazo. Kuumia siyo jambo la kustaajabisha."
Tiba ya magonjwa kama haya ninini? Mi naona kama inaleta aibu kuona hali kama hiyo inatokea kwa kiongozi wa juu wa Taifa.​
 
Mwanakijiji,

Hiki kigazeti chako kinanipa raha sana, kwani unazungumzia vitu vikubwa kwa lugha nyepesi.
 
Kama CCM wanarudia mambo yale yale kutoa msisito wa jinsi gani wanahangaika kuliongoza taifa si vibaya nasi tukawakumbusha kuhusu yale yale ili nasi tuweke msisitizo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom