Afya Haiji Kwa Njia ya Posta

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
26173_386129609588_841309588_3676290_3699137_n.jpg 156815_1740285149513_1310191653_31922777_5541587_n.jpg

Nani kakwambia mwili unalindwa kwa MAPANGA? au kujengwa kwa TOFALI????????????????????

Jameni huyu dada kushoto anatafuta wa Kum-pet pet
 
Imagin sijui mama huyo au dada jinsi alivyonenepeana ovyo , je mafuriko kama yaliyotokea Dsm angesalimika?
Bt jibu unalo mwenyewe. Sawa mwili unajengwa kwa chakula bora, lakini huyo kazidi sana. Kwanza mazoezi yenye hafanyi halafu anakula kama yuko mashindanoni.
 
.....................na kama ana JAMAA shughuli anayo NA si ya KITOTO
 
Imagin sijui mama huyo au dada jinsi alivyonenepeana ovyo , je mafuriko kama yaliyotokea Dsm angesalimika?
Bt jibu unalo mwenyewe. Sawa mwili unajengwa kwa chakula bora, lakini huyo kazidi sana. Kwanza mazoezi yenye hafanyi halafu anakula kama yuko mashindanoni.

Kwny mafuriko let us hope huo mwili ni kama boya unaelea koz otherwise daaah
 
Imagin sijui mama huyo au dada jinsi alivyonenepeana ovyo , je mafuriko kama yaliyotokea Dsm angesalimika?
Bt jibu unalo mwenyewe. Sawa mwili unajengwa kwa chakula bora, lakini huyo kazidi sana. Kwanza mazoezi yenye hafanyi halafu anakula kama yuko mashindanoni.

Huyu hajanenepa kwa kula bali ni magonjwa embu tizama kwa juu alivyo na afya ya kawaida. Ama kuna kitu kilimzyru
 
Back
Top Bottom