Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Siyo hivyo, kuacha mke au mume si jambo la mchezo. Unafumania unapandisha likishuka mnaendelea kuishi wote kwa vidonda rohoni. Ila kuna mtu humu ana signature imeandikwa fumanizi linaimarisha ndoa. Nadhani yupo sahihi kwani kama mke wako alikuwa kijogoo ukimfumania tangu hapo hadi afe utakuwa ni kijogoo wake maana akifanya fokyo unamchapa kwa hilo fumanizi lazima awe mdogo kama piritoni
Hahahahaha! Haya bhana
 
Hivi Mwanaume umefumaniwa na mke wa mtu na upo under gun point, mashine inakuwa bado imedinda tu!? Kiasi kwamba unaweza kuendelea kusex!?
 
Wandugu habari za kazi,

Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.

Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.

Kuna mdada nafanya nae kazi hapa ni mtu mzima ameolewa na ana watoto wawili.

Cha kushangaza leo namuona mumewe kaja ofisini bila taarifa akamuulizia mkewe, kipindi hicho mkewe alikuwa ametoka Ila hakuna aliyejua alipokuwa. Baada ya sisi kumjibu jamaa hatujui mkewe alipo, jamaa akaniomba nimpeleke kwa bosi kwani anashida nae nikampeleka, Ile kuingia tu namkuta bosi anakula uroda na mke wa jamaa.

Jamaa kuona vile alibutwaa kama dakk kadhaa akawaamuru waendelee kupeana raha, wakati wanashaanga hawataki kuendelea jamaa akatoa bastola akawamuru waendelee vinginevyo atawaua kuona bastola bosi ikabidi aendelee kula mzigo, jamaa akawapiga picha then akaita staff waje kushuhudia uchafu ule.

Kwa kweli sikuamini nilichokiona, siyo siri staff nzima imejionea.. Jamaa alipomaliza kupiga picha akaingia kwenye gari lake akaenda zake. Huku ameacha mtafaruku wa Hali ya juu, namuonea huruma sana shoga yangu sijui kama anandoa tena. Nitawajuza kitakachojiri baada ya hapa.

XxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxX

Mrejesho:

Mwanamke aliyefumaniwa na mumewe leo asubuhi amekunywa sumu kujaribu kujiua kuepuka aibu.

Alitoka ofisini mida ya saa tano baada ya baadhi ya staff kumshauri akatafute wazee aende nao wakamuombee msamaha kwa mumewe.

Badala yake alikwenda kwa dada yake akiwa tayari kanunua vidonge ambavyo idadi yake haikufahamika, alipofika kwa Dada yake maeneo ya sinza alimkuta msichana wa kazi tu maana Dada yake ni muajiriwa.

Alimuagiza amletee safari dukani kisha akainywa na kumeza vidonge.

Kwa mujibu wa Dada wa kazi baada ya kunywa alikwenda kulala huku yeye akiendelea kuandaaa chakula.

Chakula kilipokuwa tayari alikwenda kumuasha ili ale ndipo akakuta anakoroma huku povu latoka mdomoni, akaomba msaada kwa majirani wakamkimbiza hospital mida ya saa kumi.

Hivi ninavyozungumza amekimbizwa hospital kwa matibabu zaidi.

Tatizo la mademu wengi wa kibongo wako hivi maofisini, huenda hawajitambui na ndiyo maana wanaliwa uroda na mabosi ili kuwalinda au la tamaa za maisha zinawasumbua.
 
Aliyekusimulia hii story, naye alihadithiwa!
 
mshahara wa dhambi ni mauti
 
Back
Top Bottom