afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
Dahhhhh
asante sana sis..
Naona huo mkeki umetulia kweli
Ni kate au nisubiri mpaka hii familia yetu
kubwa uzunguke meza...?
That's nice of you..
Hey asante sana dear.
The boss ashukuru sana kwa kumwambia
kuwa anaoneka mdogo.. .... ....
thats not for him (TB) bana, it was for you Birthday Princess
Mie sitaki magumi na Kongosho.
Sorry kwa kuweka vibaya.
Mh mmh.......am on my way to your pad you know!
![]()
After a heavy match......lolHe is in delicious agony and pain.
Kuna magimbi nafikiri yale ndiyo yanafaa haswaHivi bado huwa wanapiganiwa hawa watu kwa magumi kweli?!!
Mautundu tu, jinsi ya kupika rosti la samaki nchanga, supu ya ukwaju na kachumbari.
Wabara kwa mingumi, punguzeni kula ugali mgumu.
Hivi bado huwa wanapiganiwa hawa watu kwa magumi kweli?!!
Mautundu tu, jinsi ya kupika rosti la samaki nchanga, supu ya ukwaju na kachumbari.
Wabara kwa mingumi, punguzeni kula ugali mgumu.
Ngoja tuone kama Klorokwin atakosa hii sherehe ila kwa jinsi pua yake inavyojua kunusa atakuwa hayuko mbali kutoka hapaNasubiri kwa hamu kuona kilicho ndani ya hiyo boxi nyekundu 🙂😛oa
I'm waiting for you .... 🙂
Dahhhhh
asante sana sis..
Naona huo mkeki umetulia kweli
Ni kate au nisubiri mpaka hii familia yetu
kubwa uzunguke meza...?
thats not for him (TB) bana, it was for you Birthday Princess
Mie sitaki magumi na Kongosho.
Sorry kwa kuweka vibaya.
Happy Birthday AD
Nakutakia maisha mema sana na Uzidi kubarikiwa
Happy Birthday once again
Happy Birthday to u AD!
Sante sana Nick..
I real like your profile picture ...
naendaga kutembea kipande ile kidogo lol.. :canada:
hongera kwa kukaribia uzee zaidi.
oohhh
asante sana dear ..
mmhh nlidhani we na TB ni dam dam lol..
samahani kwa kukosea njia ....
Ngoja tuone kama Klorokwin atakosa hii sherehe ila kwa jinsi pua yake inavyojua kunusa atakuwa hayuko mbali kutoka hapa