Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Happy Birthday i :juggle::juggle::juggle: Happy Bithday
The Finest keki wapi?
sitaki kumsumbua mtoto
 
Nilikuwa napiga hii niko darasa la pili, jamani kanikumbusha mbali sana
Nilivyofika la tano nikahamia kwenye mbege
High school nikapiga kitu ulanzi, uzuri hii haina hengΓ­ ova ila unalala sana

BAK Togwa umenikumbusha mbali kweli aisee
 
Nilikuwa napiga hii niko darasa la pili, jamani kanikumbusha mbali sana
Nilivyofika la tano nikahamia kwenye mbege
High school nikapiga kitu ulanzi, uzuri hii haina hengΓ­ ova ila unalala sana
Weee umeishakuwa alwatani kabisa...tuweke oda kabisa
 
Haya kamanda usije ukaingia mitini na nyama yote tubakia tunaota moto tu
...TF upo wapi na BirthDay Girl, nyama ishakwiva hapa, tafadhali usisahau kuja na chupa yangu ya Jack Daniels...Nna kiu



 

Hata sikwambii kitu ng'oooo..
ila ya mtu fido dido inakuja kesho kutwa.

Happy birthday 'rafiki'. Nakutakia maisha marefu na yenye mafanikio tele.

Asante sana rafiki..
ubarikiwe na wewe dear .

Hapana bana........mi nataka fanta nyeusi........lol

duhhhhhh
Haya ngoja nikutafutie..

ongeza chupa ingine tafazali
hahahahaha BW naona umesha anza ku chemka na moja hahah
Karibu tena.

Sina shaka kalenda yako Lizzy ni ya mchina....otherwise there r smthng wrong, labda Afro aatujuze hapa...!!
Bt ni kweli ulikuwa kaunta ya juu weekend? ukachanganya videsa??hahaa lol

Wala hata asisingizie kalenda ..
Akili ya Lizzy imesha chakachulika na Wanzuka..


Nina hamu kwelli ya kuiona hiyo kaunta ya juu, manake inapigiwa promo mbaya, hambanduki huko lol

Mtafute jamaa anaitwa Kimey ukimkosa
babu Asprin anaweza kukupa shule kidogo
Na qualification unazohitaji kujiunga... Karibu sana

Happy birthday ad.
sante sana Mkuu Tall

Aisee kaunta ya juu tuna hisa kabisa

Afrodenzi ana hisa 40%
Kimey ana hisa 40%
Asprin ana hisa 40%
Lizzy ana hisa 40%
Wiselady ana hisa 40%
Preta ana hisa 40%
Blaki Womani ana hisa 40%

Dahh hivi Fidel na Dena walisha jitoa

Afro....wakati nachagua chagua hapa, nimeiona hii, hembu chukua na naenda showroom kukuchangulia bajaji...Lol


Mwehhhhhhh
asante sana dear ..
Natakiwa kujiunga na gym ya pili baada ya kula hii..
I like it .. Thanx again

mgumu kulipa bill mpaka lawyer kloro aingilie kati

TF hebu ninong'oneze bana ni wapi hapo maana hizo chupa zinaleta kiu mchana huu

hahahahahah
Swali ni kwamba badp zipo
maana huyu TF ikija kwenye vinywaji simwamini..

to us and others!
oooh! yeeeh! we gotta pat till dawn in dos islands of barbados wit em!

Party Rock is in da house house tonight.......
Everybody just have good time... πŸ™‚

LMFAO - Party Rock Anthem ft. Lauren Bennett, GoonRock - YouTube
 
This bike is special for you...If u dnt knw how to ride, plse send it to ur beloved Dad...say everything abt me!!
Now am heading to another shop...kukutafutia security.



hahahahahah
I'm sure my daddy will love to hear about you...


I don't have enemies in here "JF"..
But im gonna keep that ..
asante sana .....


Duhhhhh
tunamywaji wa kila aina ya pombe humu ndani
na dhani amesha kujibu kuhusu Togwa..
usjali atalifanya kazi , Karibu na sante tena...

Happ birthday AD.
Sante sana dear

:lol:heri ya siku yako ya kudhaliwa

athateeeeeeee πŸ™‚
waooooooo
Thank you so much Kivumahh
Much appreciated .. πŸ™‚
Happy bday Afrodenzi

sante sana FP



You must have looked like one of these brats somtime ago!!!!:lol::lol:

hahahahahah
duhhhhh natamani kurudi miaka hiyo kwa kweli
:lol::lol: Afro D atakuwa wa kwanza huyo anapetiwa na mwenzake
mweeehhhhh
kama ulikuwepo ...lol
 
Kipindi fulani wakati bado nasoma shule wakati tunafanya community service kuna mitaa tulipita tukakuta wanapika Togwa muda mrefu kweli umepita


Haya banaa TF hii story iko nusu nusu πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ haijakamilia labda umefanya hivyo makusudi ili kuminya yaliyojiri baada ya kukuta mahali palipokuwa panapikwa Togwa πŸ™‚πŸ™‚, na mie kwa vile nakuheshimu basi wala siulizi kabisa nini kilichojiri πŸ™‚πŸ™‚
 
:lol::lol: Afro D atakuwa wa kwanza huyo anapetiwa na mwenzake


Dah! Yaani hujakosea kabisa, huyo wa kwanza ni Rubani kabisa....saa zote ana smile tu tena ya kukata na shoka, sijui hata kama anajua kama duniani huwa kuna kununa πŸ™‚πŸ™‚
 
Jamani mmenibakishia keki?

Vipi banaa Husninyo unaulizia cake wakati unaona kuku za kienyeji ziko tayari kabisa kushughulikiwa!? AD alikuwekea cake yako pembeni hebu muulize kama bado ipo πŸ™‚πŸ™‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…