Afrika pumbavu

Afrika pumbavu

Wale wa weka bahaaaariaaaaa, kila mtu baharia....
Utasikia brother sielewi kabisa
 
Japo Ni upuuzi, lakini niamini mimi tukikuweka wewe na kijana mwenzio nwingine asiyetumia jamii forum tutakuta angalau wewe una uelewa mpana wa mambo zaidi yake. Nimetolea mfano JF kwakuwa kwa sasa ndio sehemu bora zaidi, au unaweza kunitajia ni tovuti gani nyingine yenye maarifa zaidi hapa nyumbani zaidi ya JF?
Kweli kabisa ,nakumbuka mimi kipindi nasoma wenzangu waliniona niko na nondo sana wafkanifanya kama gugo yao kumbe maujanja natoa JF na niligundua karibia shule nzima hawajui JF .

Kuna siku tuliokuwa tunajadili kuhusu Bill gates mm nikasema kawahi kufikia Tz walinibishia karibu wote mimi nikaona na ushahidi wa picha akila wali na samaki Tanga tokea siku hiyo waliniamini kwa kila kitu ,kumbe madini napata hapa JF na nilishangaa sana hata vitu vidogo muhimu hawafaham zaidi ya stori nyingi za mipira na wasanii #VivaJf
 
Maarifa yangu sikuyapata JF. Niliyapata kutoka YouTube, blog na website zingine.
JF nilijiunga kwasababu ya Jukwaa la Tech, nilipata maarifa kiduchu sana. Unaunganisha doti doti na ukitaka kupata doti nzima inabidi uzame YouTube, blog na website zingine.
Kumbuka kila mtu ana interest zake. Mwingine anapenda mambo ya siasa, udaku, movies, michezo n.k mengine hayapo JF
JF ni sehemu ndogo sana ya kupata maarifa, na ukijikita kwenye JF utapelea. Kuna mambo nishayauliza hapa JF sijawahi kupata majibu mpaka keshokutwa
Japo Ni upuuzi, lakini niamini mimi tukikuweka wewe na kijana mwenzio nwingine asiyetumia jamii forum tutakuta angalau wewe una uelewa mpana wa mambo zaidi yake. Nimetolea mfano JF kwakuwa kwa sasa ndio sehemu bora zaidi, au unaweza kunitajia ni tovuti gani nyingine yenye maarifa zaidi hapa nyumbani zaidi ya JF?
 
Km unatafuta mambo mepesi utayapata JF ila mambo mazito huwezi kuyapata JF. Unaweza sema hiyo Habari iliporitiwa JF tu na hakuna sehemu nyingine?
Kweli kabisa ,nakumbuka mimi kipindi nasoma wenzangu waliniona niko na nondo sana wafkanifanya kama gugo yao kumbe maujanja natoa JF na niligundua karibia shule nzima hawajui JF .

Kuna siku tuliokuwa tunajadili kuhusu Bill gates mm nikasema kawahi kufikia Tz walinibishia karibu wote mimi nikaona na ushahidi wa picha akila wali na samaki Tanga tokea siku hiyo waliniamini kwa kila kitu ,kumbe madini napata hapa JF na nilishangaa sana hata vitu vidogo muhimu hawafaham zaidi ya stori nyingi za mipira na wasanii #VivaJf
 
Upumbavu na kudumaa kiakili kwa Afrika na haswa mtu mweusi hakukuanza leo,,, ndo maana walipokuja hao Mabeberu miaka hiyo walitukuta bado tunaishi maisha ambayo kwao ilikuwa historia...

South Africa yenyewe bila juhudi za hao wazungu wangekuwa kama South Sudan tu...
 
Km unatafuta mambo mepesi utayapata JF ila mambo mazito huwezi kuyapata JF. Unaweza sema hiyo Habari iliporitiwa JF tu na hakuna sehemu nyingine?
Jf imekuwa kama daraja la kupata hivyo vitu vizito kupita wana Jf nimejua saiti mbalimbali ,watu,vitabu na channels na connection nyingene za kujifunza na kupata madini Ktk nyanja mbalimbali .Vitu vyote hivyo kitaani hakuna mfno kuna website sasa natumia kusoma vitabu vya dini na historia niliijua baada ya maana Jf kunitumia kitabu kwny maandish mwishoni nikaona hyo web ss napakua mwenyewe.
 
Ila kuita waafrika na vijana wake wapuuzi na wanaupuuzi ndio solution? Nilijua tu.. wewe ni kijana mdogo.. ambae hata hufai kutumia kauli ya mabinti zetu.. huna binti bado. Jifunze maisha ndio uje kuropoka.
Next viwanja vya vita mfano wake nenda machimboni huko ukaone vijana wenzako wanavyopambana..
Nenda kkoo kaone vijana wanavyochakalika.
Nenda hata huko south ukaone vijana wenzako wanavyopambana ..
Nenda dubai, nenda hapo tu uk kaangalie vijana wakiafrika, wakitanzania wanavyochakarika.
Unakuja kuongelea jamii forum hapa.
Kijana fikiria kabla ya kuropoka.(Narudia tena)
 
Nisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika.

Aisee ni upumbavu kuona et- watu maarufu nchini ni wachekeshaji, waimbaji, na wapuuzi puuzi tu wenye kufanya maupuuzi huko mitandaoni na unakuta wanapata wafuatiliaji mamilioni kwa mamilioni, wapumbavu hawa wasio jitambua

Sasa unakuta li-kijana limemaliza chuo alafu linalalamika ajira hakuna huku ukiliuliza unaijua hata jamii forum haijui, hana chochote cha zaidi ya kuwa-follow akina juma lokole na kujua ratiba zote za vipindi vya kipuuzi huko median.

Nimechunguza nikagundua kati ya vijana 10 tisa kati yao hawaitumii jamii forum, zaidi ya kukutana nayo hewani wakati wakiwa wame-google kitu flani. Yaani kwa maamuzi yao hii App sio kipaumbele .

Kujirekodi na kuweka status za kipuuzi puuzi ndio fashion. Sasa jitu hili utaliajiri kweli? Huko vyuoni ni upuuzi tu, elimu mbovu ubishololo umetamalaki, kutafunana tu hadi tunaogopa kupeleka mabinti zetu.

Snap chat, Facebook, Instagram, na kuangalia YouTube chanells za udaku ndio habari ya mujini na vijijini kuliko pelekwa umeme kwa kodi zetu na majasho yetu. Angalia Sasa ni nini wanaposti na kuweka umo, Ni ujinga ujinga tu wa viwango vya kimataifa.

Kwakweli tusimtafute mchawi wala kumsingizia mkoloni ua mabebelu, maana ujinga ndani yetu ukiona nchi watu wake maarufu na role model wa watu ni waigizaji, wachekeshaji, machawa, machangu, na waimbaji wa ovyo ovyo basi ujue hakuna kitu hapo.... Ni mzigo kwa Dunia tu.
"Celebrity Worshipping" ni tatizo kubwa sana miongoni mwa Vijana wetu.
 
Ni ajabu Sana mkuu, hadi Amber Ruty anafikia hatua ya kualikwa kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya mahafali ya secondary?

Piere Liquid hadi CCM wanamtembeza kila mkoa mpaka bungeni?
Watu ambao wanatukana, wanafanya ujinga mtandaoni ndiyo wanaopewa fursa za kuwa mabarozi wa makampuni na wasemaji hivyo kila kijana ataiga. Mademu wanaovua vua ndiyo wanaitwa kwenye shughuli maalum. Refer mwijaku, steve nyerere, akina Hamisa na wengine utakuta wanaitwa kwenye shughyli hadi za kiserikali.
Ndiyo maana watoto siku hizi wanaona kusoma sana hakuna deal wakati mtu akivua akaanza kutukana insta kesho utamkuta high table akiwa barozi.
Wewe na degree yako uko unahangaika na kimshahara cha lak 3.
 
Nisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika.

Aisee ni upumbavu kuona et- watu maarufu nchini ni wachekeshaji, waimbaji, na wapuuzi puuzi tu wenye kufanya maupuuzi huko mitandaoni na unakuta wanapata wafuatiliaji mamilioni kwa mamilioni, wapumbavu hawa wasio jitambua

Sasa unakuta li-kijana limemaliza chuo alafu linalalamika ajira hakuna huku ukiliuliza unaijua hata jamii forum haijui, hana chochote cha zaidi ya kuwa-follow akina juma lokole na kujua ratiba zote za vipindi vya kipuuzi huko median.

Nimechunguza nikagundua kati ya vijana 10 tisa kati yao hawaitumii jamii forum, zaidi ya kukutana nayo hewani wakati wakiwa wame-google kitu flani. Yaani kwa maamuzi yao hii App sio kipaumbele .

Kujirekodi na kuweka status za kipuuzi puuzi ndio fashion. Sasa jitu hili utaliajiri kweli? Huko vyuoni ni upuuzi tu, elimu mbovu ubishololo umetamalaki, kutafunana tu hadi tunaogopa kupeleka mabinti zetu.

Snap chat, Facebook, Instagram, na kuangalia YouTube chanells za udaku ndio habari ya mujini na vijijini kuliko pelekwa umeme kwa kodi zetu na majasho yetu. Angalia Sasa ni nini wanaposti na kuweka umo, Ni ujinga ujinga tu wa viwango vya kimataifa.

Kwakweli tusimtafute mchawi wala kumsingizia mkoloni ua mabebelu, maana ujinga ndani yetu ukiona nchi watu wake maarufu na role model wa watu ni waigizaji, wachekeshaji, machawa, machangu, na waimbaji wa ovyo ovyo basi ujue hakuna kitu hapo.... Ni mzigo kwa Dunia tu.
Shida ilianzia pale wazazi wako walipokulazimisha ufuate profession waliyoitaka wao na siyo uliyoitamani.

Sasa unadhani kila mtu ana syndrome ya kusaidiwa kuwaza na anapaswa kuamuliwa na kuamriwa afanye nini.

Pole sana.

Next time uache upumbavu
 
Mitandao sio Afrika tu, ni duniani kote, na kuna matumizi ya kujiburudisha na matumizi ya kibiashara p
Sasa huku kwetu imekuwa too much aisee, wenzetu wameshasogea mbali sana kwa kila kitu, na sasa ni kama wanarudia rudia tu burudani, ilipaswa sisi nasi tukomae na kujipambanua kusogea mbele zaidi kupitia teknolojia na sio kuitumia hovyo. Ningependa Mama afungie baadhi ya social medias kama ilivyokuwa kwenye webs za porn, ili walau vijana wetu wapumzike kidogo.
 
Shida ilianzia pale wazazi wako walipokulazimisha ufuate profession waliyoitaka wao na siyo uliyoitamani.

Sasa unadhani kila mtu ana syndrome ya kusaidiwa kuwaza na anapaswa kuamuliwa na kuamriwa afanye nini.

Pole sana.

Next time uache upumbavu
Msanii, upumbavu hautolewi na mtu mpumbavu kama ulivyomtambulisha mpumbavu wa Kwanza.
Muhimu kujadili na kupata masuluhisho muhimu ya jamii yetu ikiwa haupendi kuona wapumbavu na upumbavu ukiongezeka.
 
Sasa huku kwetu imekuwa too much aisee, wenzetu wameshasogea mbali sana kwa kila kitu, na sasa ni kama wanarudia rudia tu burudani, ilipaswa sisi nasi tukomae na kujipambanua kusogea mbele zaidi kupitia teknolojia na sio kuitumia hovyo. Ningependa Mama afungie baadhi ya social medias kama ilivyokuwa kwenye webs za porn, ili walau vijana wetu wapumzike kidogo.
Mfano instagram, inatumika sana kibiashara, na wanaonunua hizo bidhaa huonanhayo matangazo kupitia vituko vya akina Juma lokole, Diamond nk, so ni kama vinabebana, biashara zinawalipa wadaku kuweka matangazo, na wadaku huvutia watazamaji na hivyo zote husaidiana
 
Kweli kabisa, na ndio maana nikasema Kama taifa linategemea hao wakina Juma lokole, Diamond nk katika kufanikisha biashara za wananchi wake ujue hapo akuna kitu zaidi ya vibiashara vya madela online, visendo, vibukta na makava ya simu.

Nilitegemea watu Kama Maxime, Joel Nanauka, Benjamin Fernandez, wangekuwa ndio kipaumbele zaidi na kupitia wao at least tungetegemea kuzalisha vijana bora wenye maarifa. Sasa ukiwauliza vijana wakutajie watu maarufu muhimu wanaowajua ndio utasikia Dulvany, Uchebe, Marioo sijui nani na nani upuuzi tu.
 
Sasa hao akina Dulvany ndio wanatufanikishia biashara zetu, lazima tuwalipe tu ili wapost biashara zetu, hatuna jinsi, ndio wenye mvuto wa kibiashara kwetu. Hata ukatangaza ITV bado haiwezi kufikia impact utakayopata endapo ukipost kwa Diamond au Mwijaku nk., so ni mfumo tu. Halafu biashara wanazotangaza sio za Sendo tu, kuna biashara za magari, viwanja, nyumba, nk., kupitia hao akina juma lokole wengine ndio tumajenga maghorofa huku mitaani, tunawategemea sana hao maxhoga nk.
 
Sasa hao akina Dulvany ndio wanatufanikishia biashara zetu, lazima tuwalipe tu ili wapost biashara zetu, hatuna jinsi, ndio wenye mvuto wa kibiashara kwetu. Hata ukatangaza ITV bado haiwezi kufikia impact utakayopata endapo ukipost kwa Diamond au Mwijaku nk., so ni mfumo tu. Halafu biashara wanazotangaza sio za Sendo tu, kuna biashara za magari, viwanja, nyumba, nk.
Mkuu FRANCIS DA DON, watu wote wangekuwa kama wewe basi issue ya mafanikio isingekuwa changamoto tena. Respect kwako uko makini mkuu👏👏😎
 
Back
Top Bottom