Wasomalia siyo waafrika?a. Demokrasia ndiyo mfumo mzuri wa maendeleo kwa nchi ambazo zina watu wa jamii tofauti. sisi sio wasomali au waarabu ni waafrica. Kuna nchi zina demokrasia na maendeleo makubwa sana Africa
Najuwa ukiuliza mfano wa nchi zilizoendelea sana Afrika kwa kuwa wana demokrasia utaanzia kutaja nyumbani Kenya ambayo siyo nchi yenye maendeleo, na haijawahi kuwa na Demokrasia toka ipate uhuru hadi hivi karibuni. Demokrasia yenyewe ni ya wasiwasi tupu!