Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 811
- 877
- Thread starter
- #41
Hapa sijaelewa msingi wa hoja yako ni ipi mkuu.😂😂Nimekuuliza tangu tumepata Uhuru, hii Nchi Kuna chama kingine kimewahi kutongoza Serikali zaidi ya hili chama chetu Tawala?
Nchi Ina miaka mingapi tangu tupate Uhuru?
Kama tutaendelea kuwa na Viongozi hawahawa tunaoletewa na CCM, hayo Maendeleo hayatakuja
Mimi, wewe na yule tutakufa tutaicha Nchi ikiwa hivi hivi
Kwakuwa kuna watu wameamua kuifanya iwe hivi, zinufaike familia zao na jamaa zao lakini sio Nchi
Tutaendelea kukopa dollar za kutosha lakini hakutakuwa na kupiga hatua
Unajua tatizo ni Nini? Mfumo