Afrika Kusini yalia na ongezeko la Ukimwi

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
2,494
Points
1,500

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
2,494 1,500
Jumla ya watu wote wenye HIV ni milioni 7.2 nchini Afrika kusini
Utafiti umewafuatilia watu 730000 wenye umri kati ya mwaka 1 -19, wale wenye umri wa miaka 15 - 19 wanaopata huduma ya afya (ushauri nasaha) ni mara 10 zaidi ya mwaka 2010. Hayo yameandikwa katika Gazeti la LANCET HIV JOURNAL.

9/10 ya wanaotafuta huduma (ushauri nasaha) ya afya ni akina dada.

Ongezeko la ugonjwa huo ndani ya Afrika kusini ni mkubwa sana. Ni hatari kwa nchi ambayo inaongoza kiuchumi Afrika kushindwa kabisa kuwa na mkakati wa kupunguza kuzuia kwa maambukizi wa ugonjwa huo.
 

Vonix

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
2,443
Points
2,000

Vonix

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
2,443 2,000
Wasouth wanapendasana anasa hasa clubing na michezo ya beach! Ni wanywaji waziri sana wa pombe na wavivu kufanya kazi!

Weekend madem wengi wanatoka botswana na swazland kuja kufanya starehe S.A . Wanafunzi wa south wako huru sana.
Mkuu niliwahi kwenda mafunzoni PeterMarziburg huko Kwazuru Natal acha kabisa ila Dada zao kama ni mpenzi wa akina Dada waliofunga nyuma huko umefika halafu wazuri sasa kama mtu hutembei na kinga unategemea nini!na Afrika kusini kila baada ya dakika 3 kunatukio ama la mtu kubakwa au kuuwawa.
 

Forum statistics

Threads 1,343,539
Members 515,077
Posts 32,788,091
Top