Afrika Kusini yalia na ongezeko la Ukimwi

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
2,494
Points
1,500

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
2,494 1,500
Jumla ya watu wote wenye HIV ni milioni 7.2 nchini Afrika kusini
Utafiti umewafuatilia watu 730000 wenye umri kati ya mwaka 1 -19, wale wenye umri wa miaka 15 - 19 wanaopata huduma ya afya (ushauri nasaha) ni mara 10 zaidi ya mwaka 2010. Hayo yameandikwa katika Gazeti la LANCET HIV JOURNAL.

9/10 ya wanaotafuta huduma (ushauri nasaha) ya afya ni akina dada.

Ongezeko la ugonjwa huo ndani ya Afrika kusini ni mkubwa sana. Ni hatari kwa nchi ambayo inaongoza kiuchumi Afrika kushindwa kabisa kuwa na mkakati wa kupunguza kuzuia kwa maambukizi wa ugonjwa huo.
 

Forum statistics

Threads 1,343,525
Members 515,078
Posts 32,787,439
Top