Afrika Kusini: Wakristo na baniani waandamana wakitaka adhana

Nyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija.

Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje.

Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia.

Hii tabia ikome.
Hiki ni kiburi cha uzima, kuna siku cheo/nafasi uliyonayo havitaweza kukuokoa na utamgeukia Mungu akuokoe.
 
Back
Top Bottom