Afrika Kusini niijuavyo mimi

Huyo mwanamke kama alikuwa mzuru jamaa wale wangekuua,nilikuwa kule course flani tulitembelea soweto uswahilini
nilimpenda binti akaniomba nimuache sababu wazuru hawatahiriwi na mwanamke wa kizulu kutoka na mgeni ingeonekana amewazarau wazuru wenzake hiyo iliniuma sàna
 
[emoji1019] [emoji1019] [emoji1019]
[emoji1019] [emoji1019] [emoji1019]
[emoji1019] [emoji1019] [emoji1019]
[emoji1019] [emoji1019] [emoji1019]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji109][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Walidhamiria kunimaliza bahati nzuri binti alikuwa katoka nje na kulock mlango hivyo akawa anapambana nao wasimtoe mlangoni ndio nikapata upenyo nikaingia chooni nikalock mlango kwa ndani nikatokea kwenye dirisha dogo la chooni
 
dah iyo inaitwa kupona chupu chupa kwenye tundu la dirisha Mkuu,atlest upo wewe unayetupa experience ya S.A ubarikiwe
 
Wakorofi sana lile kabila si wanawake si wanaume

Kweli hata wanawake wao ni wakorofi sana kwani during those good days niliwahi kuwa na girlfriend wa ANC nikiwa nasoma naye huko Dodoma basi ilikuwa kila siku ya Disco chuoni lazima anipige maana alikuwa na wivu ile mbaya halafu alikuwa ananizidi umri, mwili na maguvu yaani basi tu utundu wangu ulinifanya niendelee kuwa naye..akivua nguo kama wewe ni mwoga unaweza kimbia maana huo mwili wake ulikuwa na makovu na manundunundu mwili mzima utafikiri aliwahi kugombana na chui kumbe alijeruhiwa na bomu la ardhini wakati anatoroka kupitia Msumbiji.
 
Inasikitisha sana, ila nimecheka sana eti mara ya nne ulinusurika ukiwa kwenye church of Satan!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila nawapendea kitu kimoja tuuu sio wachoyo hata kidogo.... Anaweza kukupa mgongo mpaka ukapiga yowe la utamu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji87][emoji87][emoji86][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nafikiri zamani hiyo ilikuwa dhambi la sivyo huyo mmama angeniambia tu kwani hakuwa anajua kuficha kiu yake ambayo roho yake inapenda, ilikuwa akitaka saa yoyote basi utatafutwa kama umeua na akiniona tu utasikia amri tu "Tangulia kwa Posta au kama ni usiku twende kwa minyaa yetu"
 
Walidhamiria kunimaliza bahati nzuri binti alikuwa katoka nje na kulock mlango hivyo akawa anapambana nao wasimtoe mlangoni ndio nikapata upenyo nikaingia chooni nikalock mlango kwa ndani nikatokea kwenye dirisha dogo la chooni
Sipati picha jamaa walikuwa wanaimba zile nyimbo zao za ukombozi wakiwa na magongo mkononi
 
"We are doing what the President Cyril Ramaphosa said # Thuma mina"

Inaonekana hili lina baraka toka serikali ya Ramaphosa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…