Afrika Kusini niijuavyo mimi

Vurugu hizo zinatokea maeneo ambayo ni changanyiken mfano kwa bongo ni kama keko magurumbasi au kariakoo mchikichini sehemu ambayo watu w Hali ya chin wanakaa......So sio wagen wote wamekumbwa na kadhia hii
 
Hao walevi wa kizulu mbona huko Sandton kuna raia wa kigeni wengi tu kwenye majumba wametulia na miguu ya kuku ndani si waende wakayachome.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wako murua,umenisaidia sana kuelewa. Maana napata wakati mgumu ninapokuta Uzi humu unaunga mkono Yale yanyotokea Leo south.naomba MUNGU wasome Uzi wako!!!
 
Kamwe hawawezi kufika huko... Hasira zao wanamalizia kwa hawa wanyonge wanaokaa nao vijiweni na mitaani
Kama mgeni anakuja nchini mwako na anatoboa wazawa lazima mtakuwa na matatizo,Tatizo la wasauzi ni ulevi,uvivu, kutokusafiri,na kuamini Waafrika wengine ni masikini.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wako murua,umenisaidia sana kuelewa. Maana napata wakati mgumu ninapokuta Uzi humu unaunga mkono Yale yanyotokea Leo south.naomba MUNGU wasome Uzi wako!!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji109]
 
Ha ha! Wangekuua tungepata wapi mchawi wa jf Kama wewe..
Kinachotakiwa na sisi tuwafukuze maana hata historia inajieleza wangoni walivyo kuja mpk tz kusini na mataifa mengine na wanaishi vyema tu Kama wameshindwa kuwatokeza waharifu do kigezo Cha kuua maana wengine hawana hatia
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Nasikia mji wa Pretoria WTZ kule wamekumiliki KAMA kwao! mishe mishe zoote KUANZIA ngada, bange, ujambazi wao NI ma-godfather HAWANA mpinzani! NI territory yao![emoji44] kuna ukweli Mkuu Mahaba Jr [emoji50]
 
Mkuu...unakumbuka ile thread ya kwamba wewe ni Agent wa shetani..? Aisee hakuna tusi nilikosa mule..leo umesema ulikua kwenye kumuabudu shetani wanashangaa....yaani wanashangaa mpare na samaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…