tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,771
Akili za mwenyekiti wa mbogamboga
Mbona wamarekani wameua sana tu hapo Uarabuni tena wakina mama na watoto lakini hawajashitakiwa? Nisaidie mkuu ili nielewe!Court safi kufunga madikteta yote yanayoua raia zake sababu ya kura!
Madikteta hasa ya Third World countries.
Bila madikteta hawa wanaomiliki bunduki na vifaru kushughulikiwa na nguvu ya ziada yataumiza sana watu wao. Ni bora ICC iwepo ili yajue kuwa hayako salama sana kwa matendo yao ya kidhalimu.
Eti????Pyu pyu pyu risasi 16 🔫. 🤣 mtu kapigwa wala hakuna aliyekamatwa.
Siku watu wakiuawa kwa halaiki ikuwaje???----- ICC ni muhimu.
Eti????
ICC ni Mpango wa Mungu kutuponya Waafrica wanyonge dhidi ya Ma Dikteta na Ibilisi ya AfricaKwani kuna mtu ICC kafungwa kwa hila?
Kwakuwa waafrika tumeamua kutojali haki zetu wenyewe acha beberu atulinde sisi.
Nadhani Africa inaihitaji ICC kuliko hata maji ya kunywa.
SureKwani kuna mtu ICC kafungwa kwa hila?
Kwakuwa waafrika tumeamua kutojali haki zetu wenyewe acha beberu atulinde sisi.
Nadhani Africa inaihitaji ICC kuliko hata maji ya kunywa.
Itatusaidia sn, Africa imejaa watawala madiktetaKufeli kwa viongozi wa Afrika kutengeneza strong institutions naona ni bora hii mahakama iwepo.