hicho cha kwanza cha UCT yaani ninajuta kwanini sikwenda kusoma huko maana fees zao kwa raia wa tanzania ni sawa na wazawa wa southafrica ni rahisi kidogo hatulipi internationa fees kama nchi nyingine nilishangaa waliponitumia fees zao watu tunahangaika kwenda kwenye machuo ya gharama na huku tuna opportunity tulikuwa wala hatuijui duh,