Africans are "misplaced human beings" in this planet

nyani wa lumumba wana manyoya mengi,kila muda wanachambuana chawa mpaka maka.l.ioni
 
acha historia ya shule ya msingi.unajidanganya.Hebu nipe dawa ya kutibu Kaswende wakati ule.Acha uJPMba.
 
Pluto inatuhusu!
 
Unazungumzia mtu mweusi peke yake ama ?
Mtu mweusi popote alipo!
hata America, tazama Haiti nchi yenye population ya weusi pekee ktk visiwa vya Caribbean, ndio yenye balaa kubwa, umaskini, maradhi na ujinga! na weusi popote walipo duniani ndio inferior race, hata ndani ya US ndio wakazi wa inner cities kwenye shida zote!
 
Hamna tofauti yoyote baina ya Waafrika na Wazungu. Shida za watu weusi ni ushirikina, kama siyo ushirikina wetu ni kukumbatia ushirikina wa Wazungu na Waarabu. By the way, hata Wazungu wenyewe siku hizi wanauponda huo ushirikina, wanasema ni watu wasio na elimu tu ambao wanaamini kuna mtu mbinguni anayefanya miujiza.

Kitu kingine cha kujikumbusha ni kuwa kama unaamini sayansi, ni kuwa chimbuko la binadamu wote ni Afrika, siyo hadithi ya kuwa binadamu wa kwanza alikuwa Myahudi au Mwarabu.. Hao Wazungu ni Waafrika waliohama miaka mingi iliyopita, na kila sehemu waliyopita wakawa wana-adapt na mazingira wanayoyakuta na kutokana na hali ya hewa hata ngozi zao zikawa zina-adapt. Sababu ni kwamba ukizidi kutoka kwenye sehemu za jua, huitaji kuzalisha melanin, (inayotupa ngozi nyeusi ana inatuwezesha kustahimili jua) Hata kwa sasa hivi unaweza kuona kuwa jamaa waliobakia vijijini, (na siwasemi kwa sababu hata mimi wazazi wa mababu zangu walizaliwa huko), hawajachangamka sana kama wale waliosafiri na/au kuhamia sehemu nyingine.

Na mimi nina theory yangu ingawa siyo ya kisayansi. Unaweza kuona kila unapozidi kwenda Kaskazini, unakuta watu wamepiga hatua kuliko kusini. Geneticists wanasema bushmen wa Kusini mwa Afrika ndio wahenga wa binadamu wote, maana unakuta wana sura nyingi tofauti, za Kibantu, Kizungu, Kichina, n.k. Ukizidi kuenda Kaskazni unakutana na wakulima ambao wameendelea kidogo kwa sababu hawazunguki wakiwinda wanyama pori. Ukizidi kwenda Kaskazini unakutana na Waarabu, halafu Waturuki ambao wamepiga hatua kidogo, unaingia Ulaya ya Kusini ambayo imeendelea kuliko Waturuki lakini sio sana kama mataifa ya Ulaya Kaskazini kama Ujerumani au Uingereza.

Kitu cha muhimu ni kwamba kutangulia si kufika. Hizi nchi nyingi za Asia zilitawaliwa na Wazungu kama sisi, lakini leo zimepiga hatua zaidi. Badala ya kukumbatia dini za watu weupe, wenyewe wameiga mambo yanayowasaidia kama elimu na technology. Ndio maana leo hukuti mtu anauliza Wajapani wangapi wamepata tuzo za utafiti ukilinganisha na Wazungu kwa sababu it is not important.

Kwa hiyo tusikate tamaa. Tuchape kazi, tusiabudu viongozi na tuwe na open mind. Tusibishe vitu ambavyo wenzetu washajifunza na kugundua miaka mingi iliyopita. We should not re-invent the wheel.
 
Kuna sababu kwa nini Haiti ni maskini. Waafrika walitolewa kwao wakapelekwa kulima mashamba ya miwa. Walivyochoka kupelekeshwa na wazungu, wakaasi na kuwatimua Wafaransa wote Haiti. Marekani ambayo ilikuwa inafanya biashara ya utumwa enzi hizo, hawakutaka hao jamaa waamshe watumwa wao, kwa hiyo hawakuwatambua na wakawawekea vikwazo vya uchumi kama walivyomfanyia Mugabe hapa.

Hata hao wakazi wa inner cities nao wana historia ndefu. Baada ya utumwa wakatupwa tu mijini. Wakawa wanabaguliwa, elimu wananyimwa, huwezi ukategemea wakaja wakawapita Wazungu ambao ndio walikuwa mabwana zao, (masters) Elimu inaleta mabadiliko, kwa sababu hata Wazungu ambao hawajasoma ni ovyo tu kama mtu mweusi asiye na elimu.
 
Maendeleo yanatokana na changamoto unazokabiliana nazo, huku chakula kilikuwepo, dawa zilikuwepo, maeneo ya kutosha.
Fikiria kama kungekuwa na theluji inaanguka miezi mitatu mfululizo, babu zetu wasingefikiria jinsi ya ku 'adapt' ?
Ndio babu zetu walifanya hivyo walipofika Ulaya.
 
ukweli upo to some extent ila ukweli wako una shida moja!
wewe unaona kuwa weusi maisha yametushinda kwa vipimo vyako vya artificial life.
hayo unayoyataka wewe si sehemu ya maisha ya asili, meaning kuwa na serikali za muundo huu si asili ya viumbe-clans ni very natural hata fisi, samba etc huwa wanaishi ndani ya koo
gari, uwezo wa kwenda mwezini/sayari nyingine (space) ni very artificial hakuna chochote kinachokuza au kuendeleza utu, etc!
kiukweli sisi weusi ndio tunaostahamili shida kuliko watu wote, ktk mazingira haya magumu ya joto na magonjwa hatari weupe wengi wangekufa, labda ndio maana nature ikatuselect! kweli Mungu inawezekana amewapa watu weupe akili kubwa kuliko sisi, ndio maana nao wana-survive ktk mabara yanayohitaji wenye akili Zaidi kuishi, ulaya na north America ambapo wazungu wamejaa, nature hairuhusu wadudu wengi wa maradhi ya kijinga ku-survive ila majanga ya asili yanahitaji brain kuyakabili. Africa hakuhitaji sana brain ila kunahitaji immunity!
so sisi brain ndogo hard disc ya MB chache na processor speed ya GHz kadhaa tunaishi huku na jamaa wenye Terabites za kumwaga wao waishi huko!
so sio kama hatukustahili, tupo sehemu exactly tunayofit kuwepo na hayo tunayokosa ndio yanayotufanya tuishi hapa!
 
intelligence ni combination ya factors
kwanza ile sharpness ya brain yenyewe, lakini discipline na ile spirit ya hard work ndio mitaji mikubwa! karibu waafrica wote /mtu mweusi popote alipo kuwa na factors zote hizo ni shida!
sisi tuna ngozi ngumu, immunity ya kumwaga na ubongo wa mende, hii dunia yenye maradhi na inayohitaji akili kiduchu ndio inatufaa Zaidi!
 

Hakuna kitu kinaitwa laana. Hizo ni hadithi za kusadikika tu.
 
Tuanze Na IQ ya Kikwete Na Mwinyi
 
"...Duniani kila mtu anahisi ni sawa kumdharau mtu mweusi(Mwafrika) sio kwa sababu ya rangi nyeusi bali kwa sababu hata mwafrika mwenyewe anajidharau...."

Sullivan
 
Hizo Ndiyo propaganda!
Kwanzaa mwandishi nafikiri alimaanisha sub Saharan Sfrica Egypt iache.

Mandela Na Wewe ok a ruling class from the same fish pond.

Evidence: sub Saharan African Wote tupo Sawa, ukiacha African blacks, Europe etc hata wale weusi wa Haiti, Papua New Guinea Wote hafai!
Haiti is the only poorest country in the Western Hemisphere
 
Kweli kabisa kwa mazingira yetu vilitutosha..... lakini sasa nyenzo zetu zilikua duni saana ukiiangalia Dunia ilipo.. ndiyo maana hata sasa bado tumeachwa nyuma katika kuvumbua vitu vipya na bora. Afrika hatuna changamoto kubwa ya kufikiri kua wabunifu
 
Chief mwaafrika anajiita kuwa ni mwanadamu ila kiuhalisia hajawa mwanadamu kamili still yupo kwenye revolution stage na kwa hali hiyo siyo kwamba kanyimwa technology au utaalam no.waafrika waliokwisha kuwa binadamu kamili wapo vizuri,muangalie Obama na mke wake,kuna mtanzania mwingine nilikutana nae twin cities Minnesota ni director and is doing great job.so tukisha maliza revolution stage hayo yote uliyoyazungumza haitakuwa issue.please note: revolution takes ages
 
Mkuu pole sana ila jamaa yupo sahihi.hivi umewahi kusikia Obama akiwaita Republican kuwa ni maadui wake? Umewahi kuona wabunge wa Republican wakifukuzwa kwenye Congress zao? Je hawambishii rais na serikali yake?je umewahi kusikia Democratic ikiwaignore kwa kuwa wana bishia kila kitu?pole sana tena
Mtoa mada anaonyesha kuwa sehemu kubwa ya maisha yake ameyatumia kwa kufanya kazi za ndani kwa wazungu...au ameishi ulaya katika sehemu yenye ubaguzi wa kiwango cha juu sana.....
 
Asante.Nimekuelewa mkuu.
 
Mkuu umesahau hao viongozi nao ni sehemu ya jamii.sema tu wao wametuzidi kidogo ndo maana wamefanikiwa kutushikia akili tulio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…