African traditional dance

Joined
Nov 23, 2026
Posts
9
Reaction score
8
Karibu the magic village empire hapa utakutana na utamaduni na asili utajifunza ngoma za asili makabila tofauti tofauti kutoka Tanzania ngoma za asili pendwa kabisa kama
Lizombe kabila la wangoni

Sindimba kabila la wamakonde
Masewe kabila la wayao
Chikocha kabila la wangoni
Ling'oma kabila la wanyakyusa
Na nyingine nyingi

Piah kwa burudani za asili tunatapatikana mbeya mjini rift valley roundabout ya kwenda chunya
Mawasiliano 255 750 345 288
 
Hii nzuri sana tuweze kudumisha utamaduni wetu, naikumbuka miaka ile tulikuwa na Muungano cultche group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…