African Satellite World and Sat Gear

African Satellite World and Sat Gear

Msaada receiver yangu ni Q sat Q23G tatizo ni kuwa chanel za IRIB TV3 Zinascratch ila nyingine zimetulia nikitumia strong 4669XII zipo vizuri tatizo nini wana JF

Mwanzo kabisa Bw. Mhandisi (is it mhandisi or mhandizi?) karibu kwenye jukwaa la waraibu wa satliti.

Pili, mie si mweledi wa hicho kidude cha Qsat walakini hapa kwenye jukwaa mna magwiji si haba. Nionavyo mimi ni kuwa hiyo decoda ya STRONG 4669 exi ni srong kweli kweli na haina mshindani haswa ukicompare na Qsati. Pengine tu ujaribu kuskew (yaani ile mbinu ya kunyonganyonga vizuri) lnb yako ama ubadilishe coaxical cable na nyingine mpya.
Waweza pia kutwaa lnb brandi ya nguvu kama vile FUJI na kathalika.

Kwa mada ya TV ya CHAMPIONI naona ueledi wako utahitajika mno. Naomba usibanduke meanwhili endelea kutafiti na kudadisi.

Shukran na uwe na siku bila tafash.
 
Thanksss bw.HIGHLANDS ushauri wako ni mzuri ntaufanyia kazi kwa kupata Lnb ya fuji labda ndio utakuwa msaada pekee ila kunyonga nyonga hiyo lnb nimenyonga vya kutosha.Ntakupa jibu leo nikipata hiyo fuji Lnb
 
Mwanzo kabisa Bw. Mhandisi (is it mhandisi or mhandizi?) karibu kwenye jukwaa la waraibu wa satliti.

Pili, mie si mweledi wa hicho kidude cha Qsat walakini hapa kwenye jukwaa mna magwiji si haba. Nionavyo mimi ni kuwa hiyo decoda ya STRONG 4669 exi ni srong kweli kweli na haina mshindani haswa ukicompare na Qsati. Pengine tu ujaribu kuskew (yaani ile mbinu ya kunyonganyonga vizuri) lnb yako ama ubadilishe coaxical cable na nyingine mpya.
Waweza pia kutwaa lnb brandi ya nguvu kama vile FUJI na kathalika.

Kwa mada ya TV ya CHAMPIONI naona ueledi wako utahitajika mno. Naomba usibanduke meanwhili endelea kutafiti na kudadisi.

Shukran na uwe na siku bila tafash.
hehehe, just found the swahili presenter of our ASAS tv channel,
kiswahili yako itaeleweka na wakenya wote bila tafash sababu naona wewe waweza dadisi maneno yote kinaga ubaga bila kunyongayonga uhondo.
 
anyone able to get signets channels to give us a hint how to get download them in our set box
 
just yesterday, I was on da roof twinkling and twinking my lnb on 7 w to adjacent my signal quality and I manage to balance all channels which are weak to 51% using Albagdadia 2 tp 10777H27500 and also to get new tp Ad Nat Geo Hd FTA channel
 
hehehe, just found the swahili presenter of our ASAS tv channel,
kiswahili yako itaeleweka na wakenya wote bila tafash sababu naona wewe waweza dadisi maneno yote kinaga ubaga bila kunyongayonga uhondo.

Bw. Msondaa you do not need a smartphone to be smart... You are smart, and thats why you deserve a smart phone.

Mie si mkwasi wa lugha lakini iwapo hiyo idea nyeti itangoa nanga bila shaka nitaregea darasani chuoni Dar kujivika shahada nyingine kwenye nyanja husika. Na hiyo ni sentensi ndefu kweli.

Naomba ASAS Vision ione mwanga wa asubuhi. Lakilini pia asubuhi mna umande, na umande ni barafu, na barafu inagandisha...
 
That's the reason why their channels have popped with funny names like GOR MAHIA,TV ,OLOO TV ,MAZEMBE TV kweli UJALUO utatuua ha ha ha !

I knew it.

Now Hotbird, the SRT 4950M patch dubbed "Ghana" is indeed official. The stb infact displays the MULTI TV logo when powering on.

The software is peddled at @crosat.us for Africa na inapenya digiturki vile vile.
 
just yesterday, I was on da roof twinkling and twinking my lnb on 7 w to adjacent my signal quality and I manage to balance all channels which are weak to 51% using Albagdadia 2 tp 10777H27500 and also to get new tp Ad Nat Geo Hd FTA channel

Congratz!
 
Back
Top Bottom