African Satellite World and Sat Gear

African Satellite World and Sat Gear

for those using user: hddvr please change your port to 1007 and those using user: arisda.... change your port to 1001. for dstv CCcam.
 
halafu nimeshaona hawa people wana ubaguzi, yaani hii thread ni ya people of kenya tu why you people dont answer my quenstions? I often try to ask for help but you answer me nothing loooh
Nitaachana nao abdalla kwa sababu wanasaidiana wakenya kwa wakenya

jamani kaka sio eti ni ya wakenya Inategemea na swali ulilouliza uzi umesemekana ni Kuhusu free to air tv mambu ya zuku sijui azam na dstv Ulishawahi ona nani akiuliza jinsi ya kufungua? hamna so tudumishe nidhamu kwa kufuata kanuni na masharti ysliyowekwa mimi nakwambia mambo mengine yanaulizwa kwa pm kama una swali jingine tutakujibu but mambo ya cccam, avatar sijui nini in short card sharing hatuzungumzii hazarani.
 
Last edited by a moderator:
halafu nimeshaona hawa people wana ubaguzi, yaani hii thread ni ya people of kenya tu why you people dont answer my quenstions? I often try to ask for help but you answer me nothing loooh
Nitaachana nao abdalla kwa sababu wanasaidiana wakenya kwa wakenya

Hapa hakuna ubaguzi wowote mimi ni Mtanzania na maswali yangu yanajibiwa vizuri.Kwa ID tunazotumia sio rahisi kujua nani mkenya au la kwa hiyo usiwe na hofu hakuna ubaguzi wowote hapa.Pia inategemea na swali lako kama hujapata jibu maana yake hakuna mwenye jibu au halitakiwi kujibiwa hadharani.
 
jamani kaka sio eti ni ya wakenya Inategemea na swali ulilouliza uzi umesemekana ni Kuhusu free to air tv mambu ya zuku sijui azam na dstv Ulishawahi ona nani akiuliza jinsi ya kufungua? hamna so tudumishe nidhamu kwa kufuata kanuni na masharti ysliyowekwa mimi nakwambia mambo mengine yanaulizwa kwa pm kama una swali jingine tutakujibu but mambo ya cccam, avatar sijui nini in short card sharing hatuzungumzii hazarani.

It must be the way the questions are phrased.
 
Kaka natumai ndugu wa forum wamekupa mwelekeo na kanuni za hii forum, hatupagui mtu wala nchi, hapa kuna members kutoka nigeria, ghana ,ug na kadhalika, karibu tena
 
SOMEONE PLEASE TELL ME WHERE I CAN GET AN SRT-4950H....Nimezunguka Luthuli and am only getting SRT-4922 pekee.
 
Back
Top Bottom