Huwezi kutumia time yako kunielekeza hapo mkuu,? Nirudi 906 kwa c band yenye biskuti ndani sio?Kama unahitaji IS20 geuza dish yako iellekee kule tullikokuwa tunapata ITV na track TVM ambayo imebaki kule (lnb yako ikiwa bado ina ile biskuit ya ndani), ukisha ipata 3654 R 5632 ondoa hiyo biskuit ndani ya lnb yako ya c band kisha adjust azimuth na elevation ya dishi lako taratibu ukitumia 3974 H 19500 ili upate channel rahisi kabisa kwenye IS20. Moreover jitahidi kupitia hii thread huko nyuma majibu yapo mengi kuhusiana na kutrack Is20.
Yap. hiyo ndo step 1 maana ukisha ipata 906 IS20 inakuwa very close,Huwezi kutumia time yako kunielekeza hapo mkuu,? Nirudi 906 kwa c band yenye biskuti ndani sio?
Rakims
Quote 30294 mkuu kuzisoma nyuma unanipa mtihani, hapo nilipo nipo kwenye Is 20 nilipitia Ku band sasa swali langu niitoe hapo hapo hiyo biscut au na hii lnb moja inatosha au niongeze nyingineKama unahitaji IS20 geuza dish yako iellekee kule tullikokuwa tunapata ITV na track TVM ambayo imebaki kule (lnb yako ikiwa bado ina ile biskuit ya ndani), ukisha ipata 3654 R 5632 ondoa hiyo biskuit ndani ya lnb yako ya c band kisha adjust azimuth na elevation ya dishi lako taratibu ukitumia 3974 H 19500 ili upate channel rahisi kabisa kwenye IS20. Moreover jitahidi kupitia hii thread huko nyuma majibu yapo mengi kuhusiana na kutrack Is20.
Post pic ya hiyo IS20 ku tuione maana uliyo post hapo awali nimeona c bandQuote 30294 mkuu kuzisoma nyuma unanipa mtihani, hapo nilipo nipo kwenye Is 20 nilipitia Ku band sasa swali langu niitoe hapo hapo hiyo biscut au na hii lnb moja inatosha au niongeze nyingine
Rakims
SawaPost pic ya hiyo IS20 ku tuione maana uliyo post hapo awali nimeona c band
Giden yawa amesema "chomoa" 😂😂😂Wewe wamchanganya, afadhali kama hujui unatulia. Is20 doesn't use teflon, he has no Cband.
Ku mkuu hapo dini nyingi tuPost pic ya hiyo IS20 ku tuione maana uliyo post hapo awali nimeona c band
Hapo mkuu channels 120 zote dini tu 4 peke yake ndio hamna diniKu mkuu hapo dini nyingi tuView attachment 1120543
I assume una receiver ya kisasa maana channel nyingi kwa upande wa c band zimefungwa hapo. Chomoa hiyo lnb ya ku ,weka lnb ya c band hapo kwenye tundu bila kuweka ile marumaru. Tumia frequency niliyoitaja kwenye post #30281 kuipata IS20 c. You may not get it straight away, hakikisha unaizungusha zungusha lnb yako ili upate skew nzuri bila kusahau ku adjust dish lako pale itakapo bidi.Hapo mkuu channels 120 zote dini tu 4 peke yake ndio hamna dini
Rakims
Kule kwenye itv ulipoelekeza nimeziona 2 tu light tv pamoja na Canal de vieI assume una receiver ya kisasa maana channel nyingi kwa upande wa c band zimefungwa hapo. Chomoa hiyo lnb ya ku ,weka lnb ya c band hapo kwenye tundu bila kuweka ile marumaru. Tumia frequency niliyoitaja kwenye post #30281 kuipata IS20 c. You may not get it straight away, hakikisha unaizungusha zungusha lnb yako ili upate skew nzuri bila kusahau ku adjust dish lako pale itakapo bidi.
Frequency zake ni zipi nahisi kama umepotea huko, na je umegeuza dish likiwa bado lina ku au ulishabadilisha kuweka lnb kubwa ya c bandKule kwenye itv ulipoelekeza nimeziona 2 tu light tv pamoja na Canal de vie
Rakims
Frequency zake ni zipi nahisi kama umepotea huko, na je umegeuza dish likiwa bado lina ku au ulishabadilisha kuweka lnb kubwa ya c band
Canal de vie 12017 H 4245Frequency zake ni zipi nahisi kama umepotea huko, na je umegeuza dish likiwa bado lina ku au ulishabadilisha kuweka lnb kubwa ya c band
Si kule ilipo continental au nimepotea kabisa?Frequency zake ni zipi nahisi kama umepotea huko, na je umegeuza dish likiwa bado lina ku au ulishabadilisha kuweka lnb kubwa ya c band
I am getting them.Who's on Ses 5 getting Jeshis
What is jeshi?I am getting them.
You on Cband or KUWhat is jeshi?
3800 H 27500What is jeshi?
Ahsante mkuu nimeanza kuziona 13 baada ya kushusha dish 3cmFrequency zake ni zipi nahisi kama umepotea huko, na je umegeuza dish likiwa bado lina ku au ulishabadilisha kuweka lnb kubwa ya c band